How much does a ride with Uber cost?
Plan your next trip with the price estimator.
Mfumo wa Uber wa kukadiria nauli
Sampuli za bei za wasafiri ni makadirio tu na hazioneshi mabadiliko yanayosababishwa na ofa, jiografia kucheleweshwa kwenye foleni na mambo mengine. Tunaweza kutumia nauli isiyobadilika na bei za chini zaidi. Bei halisi za safari na safari zilizopangwa huenda zikawa tofauti.
Huenda bidhaa zisipatikane katika maeneo yote ya jiji lako. Tafadhali angalia programu yako kwa ajili ya upatikanaji.
How prices are estimated
In most cities, your cost is calculated up front, before you confirm your ride. In others, you will see an estimated fare range*. Here are some fees and factors that can affect your price:
*See applicable price terms in your city
Base rate
The base rate is determined by the time and distance of a trip.
Operating fee
In all UK cities, a variable fee based on trip distance, time and other factors is added to each trip. It helps support operational, regulatory, and safety costs.
Busy times and areas
When there are more riders than available drivers, prices may temporarily increase until the marketplace is rebalanced.
Aina za usafiri ukiwa eneo husika
UberX
1-3
Affordable rides, all to yourself
Comfort
1-3
Newer cars with extra legroom
UberXL
1-5
Affordable rides for groups up to 5
Uber Green
1-3
Eco-Friendly
Uber Pet
1-3
Affordable rides for you and your pet
Connect
1-4
Send packages to friends & family
Black Hourly
1-4
Luxury rides by the hour with professional drivers
Black
1-3
Luxury rides with professional drivers
Black SUV
1-5
Luxury rides for 5 with professional drivers
Taxi
1-3
Local taxi-cabs at the tap of a button
UberX Car Seat
1-3
Affordable, everyday rides equipped with car seats
Black Car Seat
1-3
Luxury rides equipped with a car seat
Black SUV Car Seat
1-5
Luxury rides for up to 5, equipped with a car seat
Making money by driving with the Uber app
Other ways
Find out what resources and promotions are in the app that can help you maximise your earnings.
Maswali yanayoulizwa sana
- Ni wakati gani nitatozwa ada ya safari?
Nauli utakayolipa itahesabiwa na kuwekwa kwenye njia ya malipo ulioweka moja kwa moja baada ya kuwasili katika eneo lako na kushuka.
- Ninaweza kupata usafiri wa Uber kutoka uwanja wa ndege?
Ndiyo, unaweza kuitisha usafiri kwenda na kuondoka kwenye viwanja vingi vikuu vya ndege kote ulimwenguni. Nenda kwenye ukurasa wetu wa viwanja vya ndege ili uone maeneo ambayo Uber inapatikana.
- Ninaweza kulipia safari kwenye Uber kwa pesa taslimu?
Katika miji mingi, malipo ya huduma za Uber hufanyika kielektroniki. Katika miji ambako malipo hufanyika kwa pesa taslimu, ni lazima uteue chaguo hili kabla ya kuitisha usafiri.
- Ninapataje kadirio la nauli kwenye App?
Fungua App na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha “Unaenda wapi?”. Utaona kadirio la bei kwa kila chaguo la safari; sogeza ili uone linalopatikana katika eneo lako.
Kampuni