Safirisha bidhaa unapotaka, jipatie kile unachohitaji
Jipatie mapato kulingana na ratiba yako.
Safirisha bidhaa unapotaka, jipatie kile unachohitaji
Jipatie mapato kulingana na ratiba yako.
Pokea malipo kwa haraka
Unapolipwa kuendesha gari kwa kutumia Uber, mapato yako yatatumwa kiotomatiki kwenye akaunti yako ya benki kila wiki. Isitoshe, unaweza kutoa pesa hadi mara 5 kwa siku kutumia Instant Pay.
Hakuna haja ya kusubiri
Unaweza kupata mapato yako mapema kuliko taarifa ya wiki ijayo.
Hadi mara 5 kwa siku
Pata mapato yako unapotaka kwa kutoa pesa ukitumia Instant Pay hadi mara 5 kila siku.
Tuma kwenye kadi ya benki
Madereva wengi wa Marekani na wasafirishaji wanaweza kutumia Instant Pay baada ya kukamilisha safari yako ya kwanza. Unachohitaji ni kadi ya benki.
Safirisha bidhaa unapotaka, jipatie kile unachohitaji
Jipatie mapato kulingana na ratiba yako.
Endesha gari unapotaka, jipatie kile unachohitaji
Jipatie mapato kulingana na ratiba yako.
Safirisha bidhaa unapotaka, jipatie kile unachohitaji
Jipatie mapato kulingana na ratiba yako.
Uko tayari kupata pesa?
Hatua ya kwanza ni kujisajili.
Jisajili
Tuambie kukuhusu wewe na gari lako, au upate gari ikiwa unalihitaji. Masharti ya gari hutofautiana kulingana na eneo, kwa hivyo tutakuonyesha kinachohitajika.
Shiriki hati zinazohitajika
Kisha, wasilisha nakala za leseni yako, usajili na uthibitisho wa bima, pamoja na baadhi ya maelezo kwa ajili ya ukaguzi.
Pakua programu na uanze kuitumia
Pindi unapojisajili kwenye mfumo wa Uber, ingia kwenye programu na uanze kuchuma pesa.
Toa pesa haraka
Mapato yako hutumwa kwenye akaunti yako ya benki kila wiki. Unaweza kutoa pesa hadi mara 5 kwa siku kutumia Instant Pay.