Ruka uende katika maudhui ya msingi
Endesha gari

Taarifa kuhusu msaada wa kifedha kufuatia mlipuko wa COVID-19

21 Aprili 2020 / Tanzania
Featured image for Taarifa kuhusu msaada wa kifedha kufuatia mlipuko wa COVID-19

Mpango wa Awali

Mpango Mpya

Sifa za mwombaji

Madereva wanaotuma maombi sharti wawe wamefanya angalau safari moja ndani ya kipindi cha siku 30 kabla ya tarehe 6 Machi, wakati mpango huu ulipotangazwa.

Uwe umefanya angalau safari moja ndani ya muda wa siku 30 kabla ya tarehe uliyowasilisha hati au siku uliyoiandikia Uber ukiomba msaada wa kifedha, haijalishi ni gani itakayotangulia. Tunatekeleza mabadiliko haya ili tuweke msukumo mkubwa kwenye madereva wanaoendelea kutoa huduma ya usafiri licha ya kuhatarisha maisha yao wakati wa janga hili.

Kipindi kinachotumika kukokoyoa malipo

Tulikuwa tunatumia kigezo cha wastani wa mapato ya kila wiki kwa kipindi ha miezi 6 kabla ya tarehe 6 Machi kukotoa fedha za kumlipa dereva.

Tutazingatia wastani wa mapato yako ya kila wiki ndani ya kipindi cha miezi 3 kabla hujatuma maombi ya kutaka msaada wa kifedha.

Kiwango cha juu cha fedha anazopata dereva

Msaada wa kifedha ulifidia hadi siku 14 kulingana na historia ya mapato ya dereva mahususi.

Ingawa tutaendelea kutoa msaada wa kifedha hadi siku 14, tumeweka kiwango cha juu ambacho dereva yeyote anaweza kupata. Kiwango hiki kinatofautiana kutoka jiji moja hadi lingine.

Posted by Uber Editor

Category:

Get a trip when you need one

Start earning in your city

Get a trip when you need one

Start earning in your city