Ruka uende katika maudhui ya msingi

Philadelphia: Pata usafiri. Safiri. Gundua.

Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.

Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.

Philadelphia: chagua usafiri

 • UberX

  1-3

  Affordable everyday trips

 • Comfort

  1-3

  Newer cars with extra legroom

 • UberXL

  1-5

  Affordable rides for groups up to 5

 • Hourly

  1-3

  Request a ride by the hour to get around in a dedicated car

 • Uber Pet

  1-4

  Affordable rides for you and your pet

 • Pool - Unavailable

  1-2

  Temporarily unavailable

1/6

Kuchukuliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Philadelphia

Jua mahali utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.

App ile ile, popote uendapo

Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.

Tunavyoshirikiana na miji

Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.

Uber Movement

Tunatoa data isiyokutambulisha kwa wasanifu wa miji na viongozi wa eneo lako kuwasaidia katika uamuzi wao unaohusiana na kujenga miundombinu na usafiri wa umma.

Usalama barabarani

Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.

Kuboresha miji

Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.

Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.

Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.

Baada ya dereva kumaliza safari, tafadhali ripoti maoni yoyote wakati unakadiria safari yako katika programu ya Uber kwa kutuma barua pepe kwa customercomplaints@uber.com, kutembelea help.uber.com au kupiga simu 800-664-1378.

Kwa safari za Pennsylvania zinazoanzia au kumalizika nje ya Kaunti ya Philadelphia, unaweza pia kujaza malalamiko kupitia Ofisi ya Huduma kwa Wateja ya Tume ya Utumishi kwa Umma ya PA kupitia 800-692-7380 au http://www.puc.pa.gov/contact_us.aspx.

Safari za UberX, UberXL, UberPool na Uber SUV kutoka Uwanja wa Ndege wa PHL hutozwa ada ya ziada ya $3 ya uwanja wa ndege. Safari za Uber Black kutoka Uwanja wa Ndege wa PHL hutozwa ada ya ziada ya $1.50 ya uwanja wa ndege. Safari za UberX, UberXL na UberPool kuelekea Uwanja wa Ndege wa PHL hutozwa ada ya ziada ya $2.50 ya uwanja wa ndege. Ada ya Ziada ya PA ya 1% ya jumla ya nauli itaongezwa kwa safari za UberX, UberXL na UberPool zinazoanzia Pennsylvania, nje ya Philadelphia.

Kwa maelezo zaidi kuhusu uberX kusini mwa New Jersey, tafadhali angalia http://www.uber.com/cities/new-jersey. Kwa safari zinazoanzia Jiji la Philadelphia, unaweza kuwasilisha malalamiko yako kwa Mamlaka ya Maegesho ya Philadelphia kupitia 215-683-9600 683-9600, au TLDEnforcement@Philapark.org.