Perth: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Perth
Perth: chagua usafiri
UberX
1-4
Affordable everyday rides
Comfort
1-4
Comfortable midsized cars with top-rated drivers
UberXL
1-6
Affordable rides for groups up to 6
Connect
1-4
Send packages to friends & family
Uber Pet
1-4
Affordable rides for you and your pet
Assist
1-4
Special assistance from experienced drivers
Premier
1-4
Premium rides in high-end cars
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini Perth
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini Perth, na uagize chakula mtandaoni kwa kubonyeza mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia programu ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ada ya vibali.”
Safari zote zinatozwa GST ya asilimia 10 panapohitajika. Nauli zinaoneshwa katika dola za Australia (AUD).
Kampuni