Nagoya: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Nagoya: chagua usafiri
MK Taxi
1-4
Request a taxi from MK Taxi
Fuji Taxi
1-4
Request a taxi from Fuji Taxi
Taxi
1-4
Taxi
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini Nagoya
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini Nagoya, na uagize chakula mtandaoni kwa kugonga mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Uber Movement
Tunatoa data isiyokutambulisha kwa wasanifu wa miji na viongozi wa eneo lako kuwasaidia katika uamuzi wao unaohusiana na kujenga miundombinu na usafiri wa umma.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.
Mkataba wa kawaida wa shirika la usafiri
Jedwali la bei ya huduma za usafiri
Ada za ziada zitatozwa ikiwa dereva wako atasubiri kwa zaidi ya dakika 5 baada ya gari kuwasili katika eneo la kuchukuliwa.