Mji wa Meksiko: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Mji wa Meksiko: chagua usafiri
UberX
1-3
Review our fares
Comfort
1-3
Bigger cars, better experience
UberX VIP
1-3
Review our fares
Uber and Transit
1-4
Trips combining UberX and Public Transportation
UberX Promo
1-3
Precios mas bajos esperando unos minutos
Kuchukuliwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mexico City
Jua mahali utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini Mji wa Meksiko
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini Mji wa Meksiko, na uagize chakula mtandaoni kwa kugonga mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Uber Movement
Tunatoa data isiyokutambulisha kwa wasanifu wa miji na viongozi wa eneo lako kuwasaidia katika uamuzi wao unaohusiana na kujenga miundombinu na usafiri wa umma.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.
Bei zinaoneshwa katika peso za Meksiko (MXN).