Ruka uende katika maudhui ya msingi

Lima: Pata usafiri. Safiri. Gundua.

Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.

Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.

Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Lima

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya usafiri kwenye Uber mjini Lima. Omba usafiri hadi siku 30 mapema, wakati wowote na siku yoyote mwakani.
Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Date format is yyyy/MM/dd. Press the down arrow or enter key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is 2024/02/27.

Huenda huduma ya kuweka nafasi isipatikane katika eneo lako la kuchukuliwa

Lima: chagua usafiri

 • Premium

  1-4

  Kwa kushirikiana na CMV

 • Uber Pet

  1-4

  Affordable rides for you and your pet

 • Sayari ya Uber

  1-4

  Reduce your carbon footprint

 • UberX

  1-4

  Safari za bei nafuu, kila siku

 • UberGo

  1-4

  Cheaper rides with older or smaller cars

1/5

App ile ile, popote uendapo

Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.

Tunavyoshirikiana na miji

Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.

Usalama barabarani

Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.

Kuboresha miji

Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.

Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.

Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.

Uber ina makao yake Uholanzi, kwa hivyo ada za kimataifa na ubadilishaji wa sarafu zinaweza kutozwa na benki iliyo katika nchi ambako unatumia huduma. Nauli inayooneshwa kwenye programu ya Uber haijumuishi matozo hayo.