Ruka uende katika maudhui ya msingi

Vermont: Pata usafiri. Safiri. Gundua.

Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.

Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.

Vermont: chagua usafiri

 • UberX

  1-3

  Affordable everyday trips

 • Comfort

  1-3

  Newer cars with extra legroom

 • UberXL

  1-5

  Affordable rides for groups up to 5

1/3

Kuchukuliwa kwenye Burlington International Airport

Jua mahali utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.

App ile ile, popote uendapo

Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.

Tunavyoshirikiana na miji

Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.

Uber Movement

Tunatoa data isiyokutambulisha kwa wasanifu wa miji na viongozi wa eneo lako kuwasaidia katika uamuzi wao unaohusiana na kujenga miundombinu na usafiri wa umma.

Usalama barabarani

Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.

Kuboresha miji

Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.

Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia App ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.

Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ya ada ya vibali.

Baada ya dereva kumaliza safari, tafadhali ripoti maoni yoyote wakati unakadiria safari yako katika programu ya Uber kwa kutuma barua pepe kwa customercomplaints@uber.com, kutembelea help.uber.com au kupiga simu 800-664-1378.

Safari zinazoanzia au kuishia Mjini Burlington zitatozwa ada ya ziada ya $0.25. Safari zinazoanzia katika Uwanja wa Ndege wa BTV Jijini Burlington zitatozwa ada ya ziada ya $2.25. Safari zinazoishia katika Uwanja wa Ndege wa BTV Jijini Burlington zitatozwa ada ya ziada ya $2.25. Safari zinazoanzia au kuishia katika Uwanja wa Ndege wa BTV ambazo hazianzii au kuishia Jijini Burlington zitatozwa ada ya ziada ya $2. Ili kuwasiliana na Ofisi ya Usimamizi wa Kodi ukiwa na pongezi au malalamishi, tuma barua pepe kwa cdunbar@burlingtonvt.gov au upige simu kwa 802-865-7020.

Hati ya Haki za Wasafiri Burlington: (1) Madereva wa magari ya kukodisha wanatakiwa kufanya kazi kwa njia ya heshima na weledi kila wakati; (2) Lazima makubaliano ya kiwango cha malipo yawe yamefanyika kabla ya safari na yawe yamechapishwa kwenye gari, tovuti, programu au risiti ya kielektroniki iliyochapishwa au yawe yamehesabiwa kutumia teksimita kulingana na ada iliyobainishwa na bodi. TNC ambayo huwapa wanunuzi viwango husika vinavyotozwa na chaguo la kupokea kadirio la nauli kabla ya msafiri kuingia katika gari la TNC, inakubaliana na sheria hii; (3) Jina la kwanza la dereva, picha, namba pleti ya gari, na aina na muundo wa gari sharti uoneshwe wazi katika magari, kwenye tovuti, juu ya programu, au kwenye stakabadhi iliyochapishwa au ya kielektroniki; (4) Kuvuta sigara hakuruhusiwi katika gari lolote wakati wowote; (5) Hakuna mtu mwingine kando na dereva anayeruhusiwa kusalia katika gari wakati wowote bila idhini wazi ya wasafiri wote; (6) Gari linapaswa kuwa na viti na buti safi; (7) Dereva lazima ajue na kutii sheria zote za barabarani na kufuata njia ya moja kwa moja au mwafaka zaidi kwenda kituo chako cha mwisho; (8) Unaweza kutoa maelekezo kuhusu kituo cha mwisho na njia inayotumika; (9) Kila gari linapaswa kuwa na mfumo bora wa kudhibiti halijoto; (10) Sera ya mwenye leseni kuhusu viwango vya bei vinavyobadilika wakati wa dharura itafuatwa.