Boston: Pata usafiri. Safiri. Gundua.
Ni rahisi kupanga safari kwenye Uber. Linganisha njia za usafiri na uone yanayotendeka karibu nawe.
Unaelekea mahali tofauti? Angalia miji yote ambako Uber inapatikana.
Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema mjini Boston
Boston: chagua usafiri
UberX Share
1
One seat only
Starehe Electric
1-4
Magari ya Premium yasiyo na uchafuzi
UberX
1-4
Usafiri wa bei nafuu unaopatikana kila siku
Raha
1-4
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha
UberXL
1-6
Affordable rides for groups up to 6
Uber Green
1-4
Eco-Friendly
Uber Pet
1-4
Affordable rides for you and your pet
Connect
1-4
Send packages to friends & family
Return a package
1-4
Have a driver deliver a prepaid package to Fedex, UPS, or USPS
Store pickup
1-4
Pickup a pre-paid item in store
Black
1-4
Luxury rides with professional drivers
Black SUV
1-6
SUV za Starehe za vikundi vya hadi watu 6
Teksi
1-4
Teksi zisizohitaji kutafutwa
Your guide to airport car service, pickups & transportation
Jua mahali ambapo utamkuta dereva wako na upate maelekezo kamili ya jinsi ya kupata eneo la kuchukuliwa.
App ile ile, popote uendapo
Tumia vipengele unavyofurahia nyumbani ukiwa safarini, vikiwemo usaidizi wakati wowote, ufuatiliaji wa GPS na usaidizi wakati wa dharura.
Vyakula vya mgahawani, vinavyosafirishwa kupitia Uber Eats mjini Boston
Gundua vyakula bora zaidi vya kusafirishwa mjini Boston, na uagize chakula mtandaoni kwa kubonyeza mara chache tu.
Tunavyoshirikiana na miji
Uhusiano wetu na wewe huenda unaanza kwa kubonyeza simu, lakini ni wa undani zaidi katika miji. Lengo letu ni kuwa kielelezo kwa wengine ili kuboresha maisha na kujenga miji nadhifu na inayofaa zaidi siku za usoni.
Usalama barabarani
Hatua ya kusaidia kuzuia kuendesha gari ukiwa mlevi au bila uangalifu inayowahimiza watu kufanya uamuzi bora inaweza kuimarisha usalama barabarani kwa manufaa ya kila mtu.
Kuboresha miji
Kuanzia kusaidia kupunguza utoaji wa hewa ya kaboni na kuimarisha usafiri wa umma, ushirikiano wetu pamoja na serikali za maeneo tunakohudumu husaidia kuboresha miji zaidi.
Uber hairuhusu madereva kunywa pombe au kutumia dawa za kulevya wanapotumia programu ya Uber. Ikiwa unaamini kuwa dereva wako ni mlevi au ametumia dawa za kulevya, tafadhali mwambie aghairi safari hiyo mara moja.
Huenda magari ya kibiashara yakatozwa kodi zaidi na serikali, matozo hayo yatazidi ada ya vibali.”
After the driver has ended the trip, please report any feedback when rating your trip in the Uber app, emailing customercomplaints@uber.com, visiting help.uber.com, or calling 800-664-1378.
All tolls are charged at commercial rates regardless of the rate paid; tolls go directly to driver-partners and are not retained by Uber. Toll amounts charged could be greater than the amount paid.
Riders pay an airport facility charge of $3.25 on all trips originating from Logan Airport. Fare structures differ on Cape Cod, Martha’s Vineyard, and Nantucket. For more information on Uber Taxi pricing, see Boston taxi rates.
Kampuni