Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Masharti ya madereva

Uber ni njia bora ya kujisimamia kazini na kupata pesa nyingi. Kuanzia leseni ya kibiashara hadi gari, Uber inaweza kukusaidia katika kila hatua.

Anza kazi

1. Jiandikishe mtandaoni

Tayari una anwani ya barua pepe na simu ya smartphone? Vizuri, sasa tupatie maelezo machache kuhusu wasifu wako na tutakusaidia katika mchakao wa kujiandikisha.

2. Pakia nyaraka zako

Muda wa kuhakiki nyaraka zako. Nyaraka tunazotaka uweke ni zifuatazo:

  • Kadi ya gari ambayo muda wake haujaisha (La angalau abiria 5)
  • Bima ya gari
  • Kadi ya Usajili wa Gari kwa ajili ya Shughuli za Biashara
  • Leseni ya dereva Class C, C1, C2, or C3
  • Leseni ya Teksi au Magari a Watalii
  • Picha ya dereva
    • Lazima iwe ni picha ya mbele, iwe katikakati na ionyeshe uso wote wa dereva na mabega, na asivae miwani ya jua
    • Sharti iwe ni picha ya dereva tu na kusiwe na chombo kingine kwenye ndani ya fremu ya picha, mwangaza wa kutosha, na ionekane vizuri. Huwezi kutumia picha ya leseni ya dereva au picha nyingine za albamu

3. Tafuta gari

Ni gari gani linanifaa zaidi? Hakikisha linatimiza masharti yetu tuliyoweka nchini Tanzania, na ukumbuke kwamba utapata pesa nyingi zaidi ikiwa ulaji wake wa mafuta ni mdogo.

4. Kutumia akaunti yako

Ikiwa umekamilisha utaratibu ulioorodheshwa hapo juu, hongera! Sasa kila kitu shwari na unaweza kutumia akaunti yako kupata pesa.

Kuna cha ziada unachohitaji?

Pata maelezo zaidi kutoka Uber

Anza kutengeneza pesa kwa kuendesha gari ukitumia Uber ukiwa Tanzania

Taarifa inayopatikana kwenye ukurasa huu wa tovuti ni kwa madhumuni ya kutoa taarifa pekee na huenda isitumike katika nchi, eneo au miji ulipo. Inaweza kubadilika na huenda tukaibadilisha bila kukuarifu.