Onyesha upendeleo kwenye maombi zaidi ya safari
Vipi kama ungekuwa na maombi mengi zaidi ya kuchagua? Trip Radar ni kipengele kipya kinachokupa wewe na madereva wengine nafasi ya kuona na kuchagua maombi ya safari yanayotokea karibu yako.
Jinsi Trip Radar inafanya kazi
Tafuta maombi ya safari
Ukiwa kwenye safari, unaweza kuona maombi kwenye Trip Radar. Bofya hapo ili kuona maombi yanayofayika karibu yako.
Onyesha upendeleo wa maombi ya safari
Unaweza kubofya kwenye ombi lolote la safari unalotaka na kuchagua idadi yoyote unayotaka.
Kumbuka kutumia Trip Radar kwa usalama, kama utaona unakosa umakini ukiwa unatumia app ya Uber, zingatia kusimama sehemu salama ili kutumia simu yako.
Patanishwa na abiria
Madereva wengine wataona orodha pia kwahiyo hutopata kila safari utakayochagua. Kupatanishwa na abiria kuna lengo la kupunguza wastani wa kusubiri kwa dereva na abiria.Jinsi unavyo endelea kubofya, ndivyo uwezekano wako wa kupatanishwa na chaguo linalokufaa zaidi.
Jinsi ya kutumia Trip Radar
Nenda unapotaka.
Kama kuna mahali unatakiwa uwepo, Trip Radar inaweza kukusaidia kupata maombi ya safari yanayoenda sehemu maalum.
Nenda haraka
Kama hutaki kusubiria ombi la safari
Maswali ya mara kwa mara
- Kusudi la Trip Radar ni nini?
Trip Radar inakupa wewe na madereva wengine nafasi ya kuchagua kati ya maombi ya safari yanayoendelea karibu. Inaonyesha chaguzi zaidi—utaendelea kupata maombi ya moja kwa moja pia. Mfano, unaweza kutumia Trip Radar kwa ajili ya: Kwenda unapotaka kama unahitaji kuwa sehemu fulani, Trip Radar inaweza kukusaidia kupata maombi ya safari yanayoelekea sehemu fulani. Nenda unapotaka kwa haraka kama hutaki kusubiri ombi la safari linalofata, fungua Trip Radar na fanya chaguo lako.
- Kwa namna gani Trip Radar inaathiri maombi ya safari ninayopata moja kwa moja?
Down Small Maombi ya safari kwenye Trip Radar ni ya ziada—utaendelea kupata maombi ya moja kwa moja pia.
Kumbuka kutumia Trip Radar kwa usalama, kama utaona unakosa umakini ukiwa unatumia app ya Uber, zingatia kusimama sehemu salama ili kutumia simu yako.
- Kwa namna gani Uber inachagua anayepata safari?
Down Small Kupatanishwa na abiria kuna lengo la kupunguza wastani wa kusubiri kwa dereva na abiria.Kwa Trip Radar hususani, kubofya haraka kunasaidia lakini sio kitu pekee kinachoamua kupanishwa.Kwa Hiyo unaweza kuchukua muda.
- Trip Radar inaathiri kiwango chango cha kupokea safari?
Down Small Hapana. Ukiwa unachagua maombi ya safari kwenye Trip Radar, unaweza kubonyeza mara nyingi upendavyo. Kama kwenye maombi ya safari ya kawaida, baada ya kupatanishwa na abiria, unaweza kuchagua kughairi kama upendavyo.
About