Ruka uende katika maudhui ya msingi
Magari yanayostahiki jijini  NantesCircle x

Taarifa zilizomo kwenye ukurasa huu ni kwa madhumuni ya kurahisisha huduma zetu pekee. Magari yote yanapaswa kuzingatia masharti kwenye ukurasa wa matakwa ya magari ya Uber katika eneo lako na ya chaguo la safari lililoorodheshwa hapo (kwa mfano, UberX inapaswa kuwa na viti 5 na milango 4, UberXL inapaswa kuwa na viti 7 na milango 4, n.k.). Ikiwa muundo wa gari unaonekana hapa, lakini hautimizi matakwa ya gari kwa machaguo ya safari katika eneo lako, gari hilo halistahiki kutumiwa katika eneo lako. Kumbusho kwa magari yanayotumia umeme na petroli au umeme pekee: Ili likubaliwe, kila gari lililoorodheshwa hapa chini sharti liwe la mwaka ulioonyeshwa au jipya zaidi. Kwa injini nyingine zote, kwa mujibu wa kanuni, kikomo cha umri ni miaka 6.

Search
Samahani, tumeshindwa kupata gari unalotafuta.
Huenda gari lako halistahiki kutumika katika eneo hili. Jaribu kuandika tena aina au muundo.