TEST PAGE
Jiandae kuenda safari yako ya kwanza
.
Hi
how are you?
Weka nafasi ya safari yako kwenye simu au kompyuta yako
1. Ongeza maelezo ya safari yako
Weka eneo lako la kuchukua na unakoenda, na uangalie bei za safari yako.
2. Lipa kwa urahisi
Ongeza njia ya kulipa unayopendelea, kisha uchague kati ya chaguo za usafiri zinazopatikana katika eneo lako.
3. Kutana na dereva wako
Uber itakuunganisha na dereva aliye karibu, na utapata taarifa kwenye simu au kompyuta yako kuhusu wakati wa kukutana naye.
Njia za kusafiri na zaidi
Kuhusu
Kuhusu