Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Hebu tuanze

Chakula pendwa cha kila mtu, popote anapofanya kazi

Tatua mahitaji yako yote ya milo kazini

Unda mpango mahususi wa mlo wa shirika, simamia sera na uweke bajeti na sheria, hayo yote katika dashibodi moja ambayo ni rahisi kutumia na kuelewa.

Ongeza tija ya wafanyakazi

Wape motisha wafanyakazi wako kwa kuwapa vyakula wanavyopenda kupitia programu ya Uber Eats.

Rahisisha mchakato wa malipo na kulipia gharama

Lipia gharama kiotomatiki kwa kuunganisha stakabadhi zote za milo ukitumia mfumo unaopendelea.

    Chagua lugha ambayo unapendelea
    EnglishKiswahili