Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Hebu tuanze

Unaweza kununua na kutuma kadi za zawadi kupitia zana yetu ya mtandaoni.

Nunua kwa wingi

Biashara zinaweza kununua hadi kadi 1,000 za zawadi kwa kila oda, kwa hivyo ni rahisi kununua kwa ajili ya mteja mmoja au timu kubwa.

Zawadi ambayo kila mtu anapenda

Wafanyakazi au wateja wako wanaweza kutumia kadi ya zawadi ya Uber katika programu za Uber na Uber Eats na kuifanya iwe ya thamani kwa kila mtu.

Zinapatikana ulimwenguni

Kwa kuwa kadi za zawadi zinapatikana katika sarafu nyingi, biashara zinaweza kuzinunua katika nchi nyingi ulimwenguni kote.

Kadi za zawadi zinaweza kukombolewa katika programu za Uber na Uber Eats. Unaweza tu kukomboa kadi za zawadi katika nchi zinazokubali malipo kwa sarafu ileile ambayo kadi ilitolewa awali. Matumizi na ukombozi wa kadi ya zawadi hutegemea masharti ya ziada, angalia masharti kamili hapa.

    Chagua lugha ambayo unapendelea
    EnglishKiswahili