Ofa

Weka ahadi yako ya kunywa kistaarabu

Tarehe 16 Aprili, 2019 / Tanzania

Ile wikiendi ndefu imekaribia na unastahili kutulia na kufurahia wakati huu!

Iwe unaenda kuserebuka au kutoka na uwapendao, ngoja tuhakikishe unafanya maamuzi sahihi.

Ahidi kunywa kwa ustaarabu na kaa tayari kufanya maamuzi sahihi ukiwa unarudi nyumbani wikiendi hii ndefu!

Ahadi yetu ya kunywa kistaarabu:

“Naahidi kufanya maamuzi sahihi na kuwajibika wikiendi hii ndefu, na kupanga kwaajili ya safari ya kuaminika kama mipango yangu itahusisha pombe”

Jinsi ya kuaidi:

  1. Bonyeza kitufe hapa chini
  2. Jaza fomu kuwakilisha ahadi yako

Ukiwakilisha ahadi yako utajipatia nafasi ya kushinda safari 10 za bure ndani ya jiji lako: Miji inayoshiriki:Lagos,Accra,Nairobi,Mombasa,Johannesburg, Cape Town, Kampala na Dar es Salaam.

Ahidi hapa

Kumbuka kuwajulisha ndugu na marafiki kuhusu ahadi hii pia!