Ofa

Weka ahadi yako ya kunywa kistaarabu

Tarehe 16 Aprili, 2019 / Tanzania

Ile wikiendi ndefu imekaribia na unastahili kutulia na kufurahia wakati huu! Iwe unaenda kuserebuka au kutoka na uwapendao, ngoja tuhakikishe unafanya maamuzi sahihi. Ahidi kunywa kwa ustaarabu na kaa tayari kufanya maamuzi sahihi ukiwa unarudi nyumbani wikiendi hii ndefu!

Ahadi yetu ya kunywa kistaarabu:

“Naahidi kufanya maamuzi sahihi na kuwajibika wikiendi hii ndefu, na kupanga kwaajili ya safari ya kuaminika kama mipango yangu itahusisha pombe.”


Jinsi ya kuaidi:

  1. Bonyeza kitufe hapa chini.
  2. Jaza fomu kuwakilisha ahadi yako.
  3. Weka ahadi na sisi ya kunywa kistaarabu  wikiendi hii ya Pasaka! Watu 50 wa kwanza kuahidi watashinda safari 10 za BURE! Ukiwakilisha ahadi yako utajipatia nafasi ya kushinda safari 10 za bure ndani ya jiji lako: Miji inayoshiriki: Lagos,Accra,Nairobi,Mombasa,Johannesburg, Cape Town, Kampala na Dar es Salaam.

Kumbuka kuwajulisha ndugu na marafiki kuhusu ahadi hii pia!

  • Ahadi ya kunywa kistaarabu.
  • Takrimu na taarifa zote zitakazo kusanywa zitatumika kwaajili ya kampeni hii tu.
  • Hakikisha namba yako ya simu na barua pepe uliyotumia ni ile ya akaunti yako ya Uber.
  • Lazima uwe na akaunti ya Uber kushiriki kampeni hii.
  • Kila safari ya bure ina thamani ya TZS 7385.
  • Unaweza kushiriki mara moja tu kwenye kampeni hii.Kampeni ya ahadi itafanyika kuanzia 17 Aprili mpake 5 Mei 2019.
  • .Washindi wa kampeni hii watatajwa  kuanzia 7 – 9 Mei 2019. Washindi wata taarifiwa kwa njia ya barua pepe na/au SMS.