
Ile wikiendi ndefu imekaribia na unastahili kutulia na kufurahia wakati huu!
Iwe unaenda kuserebuka au kutoka na uwapendao, ngoja tuhakikishe unafanya maamuzi sahihi.
Ahidi kunywa kwa ustaarabu na kaa tayari kufanya maamuzi sahihi ukiwa unarudi nyumbani wikiendi hii ndefu!
Ahadi yetu ya kunywa kistaarabu:
“Naahidi kufanya maamuzi sahihi na kuwajibika wikiendi hii ndefu, na kupanga kwaajili ya safari ya kuaminika kama mipango yangu itahusisha pombe”
Jinsi ya kuaidi:
- Bonyeza kitufe hapa chini
- Jaza fomu kuwakilisha ahadi yako
Ukiwakilisha ahadi yako utajipatia nafasi ya kushinda safari 10 za bure ndani ya jiji lako: Miji inayoshiriki:Lagos,Accra,Nairobi,Mombasa,Johannesburg, Cape Town, Kampala na Dar es Salaam.
Kumbuka kuwajulisha ndugu na marafiki kuhusu ahadi hii pia!
- Ahadi ya kunywa kistaarabu
Takrimu na taarifa zote zitakazo kusanywa zitatumika kwaajili ya kampeni hii tu.
Hakikisha namba yako ya simu na barua pepe uliyotumia ni ile ya akaunti yako ya Uber
Lazima uwe na akaunti ya Uber kushiriki kampeni hii
Unaweza kushiriki mara moja tu kwenye kampeni hii.Kampeni ya ahadi itafanyika kuanzia 17 Aprili mpake 5 Mei 2019
.Washindi wa kampeni hii watatajwa kuanzia 7 - 9 Mei 2019. Washindi wata taarifiwa kwa njia ya barua pepe na/au SMS
Posted by Uber Editor
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Heshima ni kwa pande zote mbili
