Anza kuagiza chakula kwenye Uber Eats

Agiza sasa
Ofa

Safari za BURE za uberPOA bila kikomo Dar es Salaam

Tarehe 11 Machi, 2019 / Tanzania

Sherehekea mapema mwaka huu, furahia safari za bure za uberPoa ndani ya Dar kuanzia tarehe 11 mpaka 22 Machi. Omba safari yako ya bure kila Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 9 mpaka 11 jioni.

Hii ni nafasi yako ya kufurahia safari za bajaji za uberPOA. Uwe unaenda sokoni, unafanya mishemishe au hata kuona familia, epuka foleni ya Dar es Salaam kwa kutumia uberPOA.

Hakuna tena shida ya kuelewana bei, utaona makadilio ya bei ya kulipa kabla ya kuanza safari. Omba uberPOA kwenye app yako ya Uber na utafatwa na kushushwa mlangoni kabisa.

Kuomba safari yako ya uberPOA ni rahisi

  • Kama hauna app ya Uber, pakua app kwenye play store
  • Jiandikishe kwa kutumia namba yako au barua pepe
  • Fungua app Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 9 mpaka 11 jioni na andika unapokwenda
  • Bonyeza kitufe cha uberPOA kisha bonyeza ‘thibitisha uberPOA’
  • uberPOA yako ya bure iko njiani kukufata ndani ya dakika chache

Uber itagharamia gharama zote za ofa hii. Madereva watapokea kiasi chote cha safari zilizofanywa kipindi cha ofa hii na mapato yao hayataathiriwa.

  • Vigezo na Masharti