Ushirikiano

Ride with us to Cape Town Fish Market

Tarehe 28 Februari, 2019 / Tanzania

Tumeshirikiana na Cape Town Fish Market ili kurahisisha mitoko yako kwa safari za bure pamoja na punguzo kwenye baadhi ya vyakula.

Unataka kufurahia TZS 4,000 kwenda na kutoka CTFM? Ni rahisi, weka kuponi ya ofa CTFMTZ kwenye app yako ya Uber kabla hujaomba safari ili kupata punguzo hili.

Huna huwakika jinsi ya kuweka kuponi ya ofa?Usijali tupo kwa ajili yako

  • Fungua app ya Uber
  • Bonyeza alama ya mistari mitatu upande wa juu kushoto
  • Chagua ‘malipo’
  • Bonyeza ‘Ongeza Kuponi ya Ofa’  ingiza ‘CTFMTZ’
  • Sasa uko tayari kufanya safari!

Hatujamaliza bado! Agiza seafood platter yoyote na utapata punguzo la 15% utakapo kua umekuja na Uber. Muonyeshe mhudumu risiti yako ya Uber ya safari uliyofanya kuelekea CTFM na kupata  punguzo lako.

Kama ni mtoko na marafiki au date ya kwanza, siku zote tupo kwa ajili yako!

  • Vigezo na masharti