Ofa

Punguzo la 25% Dar Es Salaam : Vigezo na Masharti

Tarehe 16 Februari, 2018 / Tanzania

Vigezo na masharti ya punguzo la 25% Dar Es Salaam

  • Ili kupata ofa hii, lazima uwe na simu yenye uwezo wa kusoma ramani, uwe umepakua app ya Uber au umejisajili kupitia https://get.uber.com/sign-up/, umejisajili na una intanet.
  • Ofa hii inaongozwa na vigezo hivi pamoja na  Terms and Conditions and Privacy Statement za wasafiri.
  • Ofa hii inakupa wewe punguzo la asilimia ishirini na tano (25%) (“Punguzo”) kwenye kila safari kati ya safari nne(4) kwenye kipindi hiki cha ofa. Punguzo hili halitazidi TZS 9,200  kwenye safari hizi nne, kwa kila safari na jumla ya punguzo halitazidi TZS 36,800.
  • Ofa hii ni kwa wasafiri waliochaguliwa peke yake, wasafiri hawa watachukua mpaka safari nne (4) kwenye kipindi hichi cha ofa.
  • Ofa hii haitaweza kuhamishwa, kutolewa nakala au kuuzwa, na haina thamani yoyote kifedha. Ofa hii haiwezi kuunganishwa na ofa nyingine yeyote
  • Ofa hii ni kuanzia tarehe 16 April saa mbili asubuhi, mpaka 22 April 2018 saa sita usiku
  • Utumikaji wa ofa hii utategemeana na upatikanaji wa madereva-washirika.
  • Utumiaji wa app ya Uber utazingatia vigezo na masharti yanayotumika kwa wasafiri wote wanaotumia app ya uber.
  • Mtoa ofa ni Uber B.V., Meester Treublaan 7, 1097 DP HL Amsterdam, Netherlands