
Vigezo na masharti ya punguzo la 25% Dar Es Salaam
- Ili kupata ofa hii, lazima uwe na simu yenye uwezo wa kusoma ramani, uwe umepakua app ya Uber au umejisajili kupitia https://get.uber.com/sign-up/, umejisajili na una intanet.
- Ofa hii inaongozwa na vigezo hivi pamoja na Terms and Conditions and Privacy Statement za wasafiri.
- Ofa hii inakupa wewe punguzo la asilimia ishirini na tano (25%) (“Punguzo”) kwenye kila safari kati ya safari nne(4) kwenye kipindi hiki cha ofa. Punguzo hili halitazidi TZS 9,200 kwenye safari hizi nne, kwa kila safari na jumla ya punguzo halitazidi TZS 36,800.
- Ofa hii ni kwa wasafiri waliochaguliwa peke yake, wasafiri hawa watachukua mpaka safari nne (4) kwenye kipindi hichi cha ofa.
- Ofa hii haitaweza kuhamishwa, kutolewa nakala au kuuzwa, na haina thamani yoyote kifedha. Ofa hii haiwezi kuunganishwa na ofa nyingine yeyote
- Ofa hii ni kuanzia tarehe 16 April saa mbili asubuhi, mpaka 22 April 2018 saa sita usiku
- Utumikaji wa ofa hii utategemeana na upatikanaji wa madereva-washirika.
- Utumiaji wa app ya Uber utazingatia vigezo na masharti yanayotumika kwa wasafiri wote wanaotumia app ya uber.
- Mtoa ofa ni Uber B.V., Meester Treublaan 7, 1097 DP HL Amsterdam, Netherlands
Posted by Uber Editor
Category:
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Safari, Ofa11 Oktoba 2023 / Tanzania
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Ofa6 Aprili 2023 / Tanzania
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Safari, Hadithi20 Februari 2023 / Tanzania
Heshima ni kwa pande zote mbili

Safari, Ofa9 Februari 2023 / Tanzania