Bidhaa

Tarehe 27 Desemba, 2018 / Tanzania

Popote unaposherehekea Mkesha huu wa Mwaka Mpya, azimia kufika kwa wakati. Zifuatazo ni baadhi ya njia ambazo Uber inaweza kukusaidia kuvuka mwaka mpya kwa usafiri wa kuaminika.

 

Kadirio la nauli

Ukiweka mahali unakoenda,utaona kadirio sawa la nauli ya safari uliyoitisha Hakuna matatizo ya hesabu na mambo ni kama kawaida katika Uber.

Huduma Rahisi za Kuchukuliwa

Utachukuliwa usiku wa manane. Unaweza kuwasiliana na dereva wako kwa urahisi katika programu ili ajue atakapokukuta.

Thibitisha dereva wako

Mkesha wa Mwaka Mpya utakuwa na shughuli nyingi, kwa hivyo hakikisha kuwa umeabiri gari linalostahili na lina dereva anayefaa. Thibitisha namba pleti na aina ya gari la dereva wako kwenye programu kabla ya kuabiri.

Onesha hali ya safari yako

Ikiwa unaowapenda wanakusubiri, unaweza kuwaonesha hali ya safari yako kwenye programu. Furahia Mkesha wa Mwaka Mpya.