Ofa

Dar es Salaam, tunawaletea Pizza!

Tarehe 23 Mei, 2017 / Tanzania

Nini zaidi ya Pizza? Pata Pizza BURE ukiwa nyumbani au ofisini.

Jumatano, tarehe 24 Mei kuanzia saa 6 mchana hadi saa 9 mchana, watumiaji wa Uber wataona option mpya kwenye App yao-bonyeza kitufe cha Pizza upate Pizza yako kutoka kwa watenegenezaji bora wa Pizza, Pizza Pie, na Pizza yako itakufikia.

JINSI YA KUPATA PIZZA YAKO:

  • Ingia kwenye App ya Uber Jumatano, tarehe 24 Mei kuanzia saa 6 mchana hadi saa 9 mchana
  • Nenda kwenye sehemu ya Pizza, andika sehemu ulipo alafu agiza Pizza
  • Hakikisha umeandika sehemu sahihi, na uagize Pizza yako! Kama gari la UberPizza lipo karibu yako, ombi lako litakubaliwa, na utegemee kupokea PIZZA muda si mrefu BURE!

ANGALIZO

  • Pizza moja tu italetwa ukifanikiwa kuagiza.f
  • Hakikisha unatoka nje ombi lako likikubaliwa, hii itasaidia kukuunganisha na dereva, na pia itaokoa muda.
  • Maombi yatakuwa mengi, jaribu tena kama ombi lako la kwanza halikufanikiwa
  • Offer hii ni ya Jumatano tarehe 24 Mei 2017, kuanzia saa 6 mchana hadi saa 9 mchana tu.

Una marafiki wanaopenda pizza? waambie wa download App ya Uber na waingize promo code “UBERPIZZATZ” kwenye sehemu ya malipo na wapate punguzo la  TZS 3000 kwenye safari yako ya kwanza, na Pizza za bure kesho (tarehe 24 Mei)

Kwa maswali na maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia Facebook, Twitter, Instagram au help.uber.com

Enjoy!

Team Uber Tanzania