
Dhamira yetu ni kutoa usafiri salama, wa uhakika na nauli nafuu kwa kila mtu mahali popote pale. Ndio maana tumepunguza nauli za safari za uberX kwa 40% jijini Dar es Salaam, hii ina maana kwamba sasa utaweza kufanya safari zako kwa nauli nafuu zaidi!
Ubora wa huduma zetu umeimarika zaidi na utarajie usafiri mzuri kutoka kwetu, kuanzia pale unapoita usafiri mpaka ufike mahali unakoenda. Kwa kuwa nauli za uberX sasa zinaanzia TZS 4,000 pekee, una kila sababu ya kusafiri!
Kielelezo cha nauli:
Nauli ya zamani (TZS)
Nauli mpya (TZS)
Posta hadi Mwenge
13,000
7000
Posta hadi Ubungo
16,000
9,000
Mwenge hadiTegeta
16,000
9,000
Nauli ni nafuu sana na isitoshe unaweza kutumia app ya Uber bure kupitia mtandao wa Tigo, una kila sababu ya kutumia huduma zetu – unachotakiwa kufanya ni kubonyeza tu na utapata usafiri wa nauli nafuu!
Posted by Uber Editor
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Heshima ni kwa pande zote mbili
