Chagua mamlaka:
Marekani
Chagua lugha:
Kiswahili (Tanzania)
Last modified: 18/5/2020
Legal
Sera ya Kutovumilia Kabisa
Uber haivumilii utumizi wa pombe au dawa za kulevya kwa madereva wanaotumia programu ya Uber. Ikiwa unaamini kwamba dereva wako huenda akawa mlevi wa dawa za kulevya au pombe, tafadhali mfanye dereva KUSITISHA SAFARI HIYO MARAMOJA.
Baada ya dereva kusitisha safari hiyo, tafadhali ripoti maoni yoyote moja kwa moja katika programu kwa kugusa Usaidizi kwenye menyu na uchague suala lako. Pia unaweza kuwasiliana nasi kwa kutembelea help.uber.com au kutuma barua pepe kwa customercomplaints@uber.com.
Soma Mwongozowa Jumuiya ya Uber ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi Uber inavyotekeleza sera hii.
Chagua lugha ambayo unapendelea
Kuhusu