Chagua mamlaka:
Marekani
Chagua lugha:
Kiswahili (Tanzania)
Last modified: 10/1/2020
Sera ya Uber ya Marufuku kwa Bunduki
Lengo letu ni kuhakikisha kwamba kila mtu anapata safari salama na inayoaminika. Hiyo ndiyo sababu Uber inapiga marufuku wasafiri na madereva kubeba bunduki za aina yoyote ndani ya gari wakitumia programu yetu.*
Mtu yeyote anayekiuka sera hii anaweza kupoteza ufikiaji wake kwa Uber.
*Kwa uenezi unaoruhusiwa na sheria husika.
Chagua lugha ambayo unapendelea
Kuhusu