Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Ratibu usafiri wako wa kwenda Toronto Airport

(Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Toronto Pearson)

Tupe maelezo ya safari yako, kisha utufahamishe unapohitaji usafiri. Ukitumia Uber Reserve, unaweza omba usafiri hadi siku 90 mapema.

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?

Kwenda Uwanja wa ndege wa YYZ

Je, unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Toronto Pearson? Uber huchukua jukumu la kushughulikia safari yako hadi unakoenda. Iwe unasafiri kwa ndege ya ndani au ya kimataifa, Uber ina chaguo kwa ajili yako, kutoka kwa usafiri wa kibinafsi, magari ya kifahari hadi chaguo za gharama nafuu zaidi. Kwa hatua chache za haraka, unaweza kuomba usafiri sasa hivi au uweke nafasi ya usafiri wa baadaye.

Muda wa wastani wa kusafiri kutoka Toronto

Dakika 26

Bei ya wastani kutoka Toronto

$43

Umbali wa wastani kutoka Toronto

24 kilomita

Vituo vya mashirika ya ndege vya YYZ

Angalia shirika lako la ndege hapa chini ili uhakikishe kuwa unafika kwenye lango sahihi la kuondoka.

Tafadhali kumbuka kuwa ndege za baadhi ya mashirika hutoka katika uwanja wa ndege kwa kutumia vituo vingi. Tembelea tovuti rasmi ya Uwanja wa Ndege wa YYZ ili uangalie mabadiliko yoyote ya huduma.

Kituo cha 1:

AEGEAN, Aer Lingus, Air Canada, Air China, Air India, Air New Zealand, Air Serbia, ANA, Asiana Airlines, Austrian Airlines, Avianca, Azul, Brussels Airlines, Cathay Pacific, Copa Airlines, Croatia Airlines, EGYPTAIR, Emirates, Ethiopian, Etihad Airways, EVA Air, GOL, Kish Air, LOT Polish Airlines, Lufthansa, Lynx Air, Middle East Airlines, SAS, Singapore Airlines, SriLankan Airlines, TAP Air Portugal, Thai Airways, Turkish Airlines, United, Virgin Australia

Kituo cha 3:

Aer Lingus, Aeroméxico, Air Canada, Air France, Air Transat, Alaska Airlines, American Airlines, Azores Airlines, Binter, British Airways, Canada Jetlines, Caribbean Airlines, Cathay Pacific, China Airlines, China Eastern Airlines, China Southern Airlines, Condor, Delta, EL AL, Emirates, Etihad Airways, Finnair, Flair Airlines, GOL, Iberia, Icelandair, ITA Airways, Japan Airlines, KLM, Korean Air, LATAM Airlines, Middle East Airlines, Philippine Airlines, PIA, Porter Airlines, Qantas, Qatar Airways, Royal Jordanian, SAUDIA, Sunwing, TAP Air Portugal, Turkish Airlines, Virgin Atlantic, WestJet

Chaguo zako za gari za kwenda YYZ

Utachukuliwa katika uwanja wa ndege wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Toronto Pearson (YYZ)

Itisha usafiri ukiwa tayari kuondoka nje

Chagua aina ya gari linalotosha idadi ya wasafiri na mizigo mliyo nayo. Ukiombwa na programu, chagua eneo la kuchukuliwa kisha ufuate ishara kwenye uwanja wa ndege hadi “Ride App Pickups.”

Elekea kwenye eneo la kuchukuliwa

Kwa UberX na UberXL

  • Ukiwa katika Kituo cha 1, dereva wako atakupata ghorofa ya chini kwenye daraja la chini nje ya Mlango wa Q. Tafuta eneo samawati kando ya barabara.

  • Ukiwa katika Kituo cha 3, dereva wako atakupata katika Daraja la Wanaowasili nje ya Mlango wa D kwenye eneo la nje kando ya barabara. Fuata mabango ili uvuke mtaa kisha usubiri kwenye sehemu ya samawati kando ya barabara kwenye Eneo la 3.

Kwa Uber Black, Select na SUV

  • Ukiwa katika Kituo cha 1, dereva wako atakupata kwenye Daraja la Wanaowasili nje ya Mlango wa A.

  • Kwa Kituo cha 3, mpate dereva wako katika Ghorofa ya Wanaowasili nje ya Mlango wa A Safu ya 9.

Mtafute dereva wako

Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Uwanja wa ndege wa YYZ

  • Tunapendekeza ufike katika uwanja wa ndege saa 3 mapema kwa usafiri wa kimataifa. Weka nafasi ya usafiri mapema ili ukusaidie kupunguza muda wa kusubiri. Unaweza kuweka nafasi yako ya usafiri ukitumia akaunti yako ya Uber, ili kuondoa matukio ya kubahatisha wakati wa kuchukuliwa na kushushwa katika uwanja wa ndege.

  • Dereva wako wa Uber atakupeleka kwenye lango la kuondoka kwenye kituo utakachochagua.

  • Nauli ya usafiri wa Uber kutoka Uwanja wa Ndege wa YYZ inategemea vipengele kama vile aina ya usafiri unaoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, ada za barabarani na mahitaji ya sasa ya safari.

    Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha, unapoomba safari utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.

  • Ndiyo. Nenda kwenye ukurasa wetu wa kuchukuliwa katika Uwanja wa ndege wa YYZ ili upate maelezo zaidi.

  • Hapana, lakini unaweza kuona chaguo nyingine za maeneo ya kushukishwa punde tu utakapotoa maelezo ya safari yako hapo juu.

  • Dereva wako ana maelezo ya mahali uliko (ikiwa ni pamoja na njia ya kumfikisha huko haraka), lakini unaweza kumuomba apite barabara mahsusi. Ada za barabarani zinaweza kutumika.

Angalia viwanja vingine vya ndege vilivyo karibu na Toronto

Je safari yako si ya kutoka YYZ? Angalia maelezo kuhusu viwanja vingine vya ndege katika eneo hilo.

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.