Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Home > Ride > Airports > LAX

Ratibu usafiri wako wa kwenda LAX Airport

(Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles)

Tell us your trip details, then let us know when you need a ride. With Uber Reserve, you can request a ride up to 90 days ahead of time.

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?

Getting to LAX Airport

Je, unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles? Uber huchukua jukumu la kushughulikia safari yako hadi unakoenda. Iwe unasafiri kwa ndege ya ndani au ya kimataifa, Uber ina chaguo kwa ajili yako, kutoka kwa usafiri wa kibinafsi, magari ya kifahari hadi chaguo za gharama nafuu zaidi. Kwa hatua chache za haraka, unaweza kuomba usafiri sasa hivi au uweke nafasi ya usafiri wa baadaye.

Muda wa wastani wa kusafiri kutoka Los Angeles

Dakika 30

Bei ya wastani kutoka Los Angeles

$43

Umbali wa wastani kutoka Los Angeles

13 maili

LAX airline terminals

Angalia shirika lako la ndege hapa chini ili uhakikishe kuwa unafika kwenye lango sahihi la kuondoka.

Tafadhali kumbuka kuwa ndege za baadhi ya mashirika hutoka katika uwanja wa ndege kwa kutumia vituo vingi. Tembelea tovuti rasmi ya Uwanja wa Ndege wa LAX ili uangalie mabadiliko yoyote ya huduma.

Kituo cha 1:

Aeroméxico, Alaska Airlines, Allegiant, Breeze Airways, China Airlines, Delta, Kish Air, Korean Air, LATAM Airlines, Norse Atlantic UK, Qantas, Southwest Airlines, Sun Country Airlines, Viva Aerobus, WestJet

Terminal 2

Aeroméxico, Air France, China Airlines, China Eastern Airlines, China Southern Airlines, Delta, Emirates, ITA Airways, KLM, Korean Air, LATAM Airlines, Qantas, Singapore Airlines, Virgin Atlantic, WestJet

Kituo cha 3:

Aerolíneas Argentinas, Aeroméxico, Air France, Cayman Airways, China Airlines, Delta, EL AL, ITA Airways, KLM, Korean Air, LATAM Airlines, Vietnam Airlines, Virgin Atlantic, WestJet

Kituo cha 4:

Aer Lingus, Air Tahiti Nui, Alaska Airlines, American Airlines, British Airways, Cathay Pacific, China Southern Airlines, EL AL, Fiji Airways, Finnair, GOL, Gulf Air, Iberia, Japan Airlines, JetBlue, Malaysia Airlines, Philippine Airlines, Qantas, Qatar Airways, Royal Air Maroc, Royal Jordanian, SriLankan Airlines

Terminal 5

Aer Lingus, Air Tahiti Nui, Alaska Airlines, American Airlines, Azul, British Airways, Cathay Pacific, EL AL, Etihad Airways, Fiji Airways, Finnair, GOL, Gulf Air, Hawaiian Airlines, Iberia, Icelandair, Japan Airlines, JetBlue, LOT Polish Airlines, Malaysia Airlines, Philippine Airlines, Qantas, Qatar Airways, Royal Air Maroc, Royal Jordanian, Singapore Airlines, Spirit, TAP Air Portugal

Terminal 6

Air Canada, Air New Zealand, Air Tahiti Nui, Alaska Airlines, American Airlines, ANA, Austrian Airlines, Avianca, British Airways, Brussels Airlines, Cathay Pacific, EL AL, Iberia, Japan Airlines, Korean Air, LATAM Airlines, Qantas, Qatar Airways, Singapore Airlines, United

Terminal 7/8

Aer Lingus, Air Canada, Air China, Air New Zealand, American Airlines, ANA, Asiana Airlines, Austrian Airlines, Avianca, Azul, British Airways, Brussels Airlines, Copa Airlines, EGYPTAIR, Ethiopian, EVA Air, Iberia, LOT Polish Airlines, Lufthansa, SAS, Singapore Airlines, SWISS, TAP Air Portugal, Turkish Airlines, United, Virgin Australia

Tom Bradley International Terminal

Aer Lingus, Aeroméxico, Air Canada, Air China, Air France, Air New Zealand, Air Premia, Air Tahiti Nui, Alaska Airlines, American Airlines, ANA, Asiana Airlines, Austrian Airlines, Avianca, British Airways, Brussels Airlines, Cathay Pacific, China Airlines, Copa Airlines, Delta, EL AL, Emirates, EVA Air, Fiji Airways, Finnair, French bee, Gulf Air, Hawaiian Airlines, Iberia, ITA Airways, Japan Airlines, JetBlue, KLM, Korean Air, LATAM Airlines, LOT Polish Airlines, Lufthansa, Malaysia Airlines, Philippine Airlines, PIA, Qantas, Qatar Airways, Royal Jordanian, SAUDIA, Singapore Airlines, SriLankan Airlines, STARLUX Airlines, Swiss International Air Lines, Thai Airways, Turkish Airlines, United, Uzbekistan Airways, Virgin Atlantic, Volaris, Volaris Costa Rica, WestJet, XiamenAir, ZIPAIR, 中国东方航空

Your car options to LAX

Top questions about LAX Airport

  • Tunapendekeza ufike katika uwanja wa ndege saa 3 mapema kwa usafiri wa kimataifa. Weka nafasi ya usafiri mapema ili ukusaidie kupunguza muda wa kusubiri. Unaweza kuweka nafasi yako ya usafiri ukitumia akaunti yako ya Uber, ili kuondoa matukio ya kubahatisha wakati wa kuchukuliwa na kushushwa katika uwanja wa ndege.

  • Dereva wako wa Uber atakupeleka kwenye lango la kuondoka kwenye kituo utakachochagua.

  • Nauli ya usafiri wa Uber kutoka Uwanja wa Ndege wa LAX inategemea vipengele kama vile aina ya usafiri unaoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, ada za barabarani na mahitaji ya sasa ya safari.

    Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha, unapoomba safari utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.

  • Ndiyo. Nenda kwenye ukurasa wetu wa kuchukuliwa katika Uwanja wa ndege wa LAX ili upate maelezo zaidi.

  • Hapana, lakini unaweza kuona chaguo nyingine za maeneo ya kushukishwa punde tu utakapotoa maelezo ya safari yako hapo juu.

  • Dereva wako ana maelezo ya mahali uliko (ikiwa ni pamoja na njia ya kumfikisha huko haraka), lakini unaweza kumuomba apite barabara mahsusi. Ada za barabarani zinaweza kutumika.

See other airports near Greater Los Angeles

Je safari yako si ya kutoka LAX? Angalia maelezo kuhusu viwanja vingine vya ndege katika eneo hilo.

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.