Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Home > Ride > Airports > JFK

Ratibu usafiri wako wa kwenda JFK Airport

(Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy)

Tell us your trip details, then let us know when you need a ride. With Uber Reserve, you can request a ride up to 90 days ahead of time.

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?

Getting to JFK Airport

Je, unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa John F. Kennedy? Uber huchukua jukumu la kushughulikia safari yako hadi unakoenda. Iwe unasafiri kwa ndege ya ndani au ya kimataifa, Uber ina chaguo kwa ajili yako, kutoka kwa usafiri wa kibinafsi, magari ya kifahari hadi chaguo za gharama nafuu zaidi. Kwa hatua chache za haraka, unaweza kuomba usafiri sasa hivi au uweke nafasi ya usafiri wa baadaye.

Muda wa wastani wa kusafiri kutoka New York City

Dakika 37

Bei ya wastani kutoka New York City

$66

Umbali wa wastani kutoka New York City

14 maili

JFK airline terminals

Angalia shirika lako la ndege hapa chini ili uhakikishe kuwa unafika kwenye lango sahihi la kuondoka.

Tafadhali kumbuka kuwa ndege za baadhi ya mashirika hutoka katika uwanja wa ndege kwa kutumia vituo vingi. Tembelea tovuti rasmi ya Uwanja wa Ndege wa JFK ili uangalie mabadiliko yoyote ya huduma.

Kituo cha 1:

Aerolíneas Argentinas, Air China, Air France, Air New Zealand, Air Serbia, American Airlines, Asiana Airlines, Austrian Airlines, Avianca, Azores Airlines, Binter, Brussels Airlines, Cayman Airways, China Airlines, Copa Airlines, Delta, EGYPTAIR, Emirates, EVA Air, IndiGo, ITA Airways, JetBlue, KLM, Korean Air, Lufthansa, Neos, Philippine Airlines, PIA, Royal Air Maroc, SAUDIA, Singapore Airlines, TAP Air Portugal, TAROM, Thai Airways, Turkish Airlines, United, Uzbekistan Airways, Virgin Atlantic, Viva Aerobus, Volaris

Kituo cha 4:

Aerolíneas Argentinas, Aeroméxico, Air Europa, Air France, Air India, ANA, Asiana Airlines, China Airlines, China Southern Airlines, Copa Airlines, Delta, EL AL, Emirates, Etihad Airways, EVA Air, GOL, Hawaiian Airlines, ITA Airways, Japan Airlines, JetBlue, Kenya Airways, KLM, Korean Air, LATAM Airlines, Singapore Airlines, SriLankan Airlines, TAP Air Portugal, TAROM, Turkish Airlines, United, Vietnam Airlines, Virgin Atlantic, Vistara, WestJet, 哥伦比亚航空

Terminal 5

Aer Lingus, Air Serbia, Azul, Cape Air, EL AL, Etihad Airways, Hawaiian Airlines, Icelandair, Japan Airlines, JetBlue, LOT Polish Airlines, Qatar Airways, Royal Air Maroc, Singapore Airlines, TAP Air Portugal, Turkish Airlines

Terminal 7

Aer Lingus, Aerolíneas Argentinas, Air Canada, Air Tahiti Nui, Alaska Airlines, ANA, British Airways, Condor, EL AL, Ethiopian, Icelandair, JetBlue, LOT Polish Airlines, Norse Atlantic Airways, Norse Atlantic UK, Qantas, Qatar Airways, SAS, Singapore Airlines, Sun Country Airlines, United

Terminal 8

Aer Lingus, Air Tahiti Nui, Alaska Airlines, American Airlines, British Airways, Cathay Pacific, China Southern Airlines, EL AL, Fiji Airways, Finnair, GOL, Gulf Air, Iberia, Japan Airlines, JetBlue, LATAM Airlines, Malaysia Airlines, Oman Air, Qantas, Qatar Airways, Royal Air Maroc, Royal Jordanian, RwandAir, SriLankan Airlines, Vueling

Your car options to JFK

Top questions about JFK Airport

  • Tunapendekeza ufike katika uwanja wa ndege saa 3 mapema kwa usafiri wa kimataifa. Weka nafasi ya usafiri mapema ili ukusaidie kupunguza muda wa kusubiri. Unaweza kuweka nafasi yako ya usafiri ukitumia akaunti yako ya Uber, ili kuondoa matukio ya kubahatisha wakati wa kuchukuliwa na kushushwa katika uwanja wa ndege.

  • Dereva wako wa Uber atakupeleka kwenye lango la kuondoka kwenye kituo utakachochagua.

  • Nauli ya usafiri wa Uber kutoka Uwanja wa Ndege wa JFK inategemea vipengele kama vile aina ya usafiri unaoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, ada za barabarani na mahitaji ya sasa ya safari.

    Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha, unapoomba safari utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.

  • Ndiyo. Nenda kwenye ukurasa wetu wa kuchukuliwa katika Uwanja wa ndege wa JFK ili upate maelezo zaidi.

  • Hapana, lakini unaweza kuona chaguo nyingine za maeneo ya kushukishwa punde tu utakapotoa maelezo ya safari yako hapo juu.

  • Dereva wako ana maelezo ya mahali uliko (ikiwa ni pamoja na njia ya kumfikisha huko haraka), lakini unaweza kumuomba apite barabara mahsusi. Ada za barabarani zinaweza kutumika.

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.