Ukurasa wa Kwanza > Safari > Viwanja vya ndege > IAD
Ratibu usafiri wako wa kwenda Dulles Airport
(Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Washington Dulles)
Tupe maelezo ya safari yako, kisha utufahamishe unapohitaji usafiri. Ukitumia Uber Reserve, unaweza omba usafiri hadi siku 90 mapema.
Kwenda Uwanja wa ndege wa IAD
Je, unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Washington Dulles? Uber huchukua jukumu la kushughulikia safari yako hadi unakoenda. Iwe unasafiri kwa ndege ya ndani au ya kimataifa, Uber ina chaguo kwa ajili yako, kutoka kwa usafiri wa kibinafsi, magari ya kifahari hadi chaguo za gharama nafuu zaidi. Kwa hatua chache za haraka, unaweza kuomba usafiri sasa hivi au uweke nafasi ya usafiri wa baadaye.
Muda wa wastani wa kusafiri kutoka Washington DC
Dakika 41
Bei ya wastani kutoka Washington DC
$67
Umbali wa wastani kutoka Washington DC
28 maili
Vituo vya mashirika ya ndege vya IAD
Angalia shirika lako la ndege hapa chini ili uhakikishe kuwa unafika kwenye lango sahihi la kuondoka.
Tafadhali kumbuka kuwa ndege za baadhi ya mashirika hutoka katika uwanja wa ndege kwa kutumia vituo vingi. Tembelea tovuti rasmi ya Uwanja wa Ndege wa IAD ili uangalie mabadiliko yoyote ya huduma.
Kituo kikuu
Aer Lingus, Air Canada, Air China, Air France, Air India, Air New Zealand, Air Tahiti Nui, Alaska Airlines, American Airlines, ANA, Asiana Airlines, ASKY, Austrian Airlines, Avianca, British Airways, Brussels Airlines, China Eastern Airlines, Copa Airlines, Delta, EGYPTAIR, Emirates, Ethiopian, Etihad Airways, Fiji Airways, Finnair, GOL, Gulf Air, Iberia, Icelandair, ITA Airways, Japan Airlines, JetBlue, Kenya Airways, KLM, Korean Air, LATAM Airlines, Lufthansa, Malaysia Airlines, MIAT Mongolian, Oman Air, PIA, PLAY, Porter Airlines, Qantas, Qatar Airways, RwandAir, SAS, SAUDIA, Singapore Airlines, Southern Airways Express, Southwest Airlines, SriLankan Airlines, TAP Air Portugal, TAROM, Thai Airways, Turkish Airlines, United, Virgin Atlantic, Virgin Australia, WestJet
Chaguo zako za gari za kwenda IAD
Utachukuliwa katika uwanja wa ndege wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Washington Dulles (IAD)
Fungua programu yako ili uombe safari
Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa uwanja wa ndege wa IAD linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.
Fuata maelekezo kwenye programu
Utapata maelekezo kuhusu maeneo ya kuchukua wasafiri ya IAD moja kwa moja kwenye programu. Kwenye ghorofa ya sehemu ya kuchukua mizigo, ondoka kwenye kijia chenye mteremko kupitia milango ya 2, 4 au 6 na ufuate ishara za Eneo la Kuchukuliwa la Programu ya Safari.
Kutana na dereva wako
Nenda kwenye eneo lako la kuchukuliwa la IAD kama ilivyobainishwa kwenye programu. Tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe kwenye lango la kutoka lililo karibu zaidi nawe. Jina la dereva wako, nambari ya leseni na rangi ya gari itaonyeshwa kwenye programu. Thibitisha gari lako kabla ya kuingia. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.
Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Uwanja wa ndege wa IAD
- Nifike katika uwanja wa ndege wa IAD mapema kiasi gani?
Tunapendekeza ufike katika uwanja wa ndege saa 3 mapema kwa usafiri wa kimataifa. Weka nafasi ya usafiri mapema ili ukusaidie kupunguza muda wa kusubiri. Unaweza kuweka nafasi yako ya usafiri ukitumia akaunti yako ya Uber, ili kuondoa matukio ya kubahatisha wakati wa kuchukuliwa na kushushwa katika uwanja wa ndege.
- Nitashushwa wapi?
Down Small Dereva wako wa Uber atakupeleka kwenye lango la kuondoka kwenye kituo utakachochagua.
- Je, safari yangu ya Uber kutoka IAD itanigharimu pesa ngapi?
Down Small Nauli ya usafiri wa Uber kutoka Uwanja wa Ndege wa IAD inategemea vipengele kama vile aina ya usafiri unaoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, ada za barabarani na mahitaji ya sasa ya safari.
Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha, unapoomba safari utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.
- Je, ninaweza kupanga nichukuliwe IAD?
Down Small Ndiyo. Nenda kwenye ukurasa wetu wa kuchukuliwa katika Uwanja wa ndege wa IAD ili upate maelezo zaidi.
- Je, ninaweza kutumia programu ya Uber kuomba usafiri wa teksi ya kunipeleka katika uwanja wa ndege wa IAD?
Down Small Hapana, lakini unaweza kuona chaguo nyingine za maeneo ya kushukishwa punde tu utakapotoa maelezo ya safari yako hapo juu.
- Je, dereva wangu atapitia barabara itakayomwezesha kufika haraka sana akija katika Uwanja wa ndege waIAD?
Down Small Dereva wako ana maelezo ya mahali uliko (ikiwa ni pamoja na njia ya kumfikisha huko haraka), lakini unaweza kumuomba apite barabara mahsusi. Ada za barabarani zinaweza kutumika.
Angalia viwanja vingine vya ndege vilivyo karibu na the DC area
Je safari yako si ya kutoka IAD? Angalia maelezo kuhusu viwanja vingine vya ndege katika eneo hilo.
Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.
Kuhusu