Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Home > Ride > Airports > HND

Ratibu usafiri wako wa kwenda Haneda Airport

(Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tokyo Haneda)

Tell us your trip details, then let us know when you need a ride. With Uber Reserve, you can request a ride up to 90 days ahead of time.

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?

Getting to HND Airport

Je, unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Tokyo Haneda? Uber huchukua jukumu la kushughulikia safari yako hadi unakoenda. Iwe unasafiri kwa ndege ya ndani au ya kimataifa, Uber ina chaguo kwa ajili yako, kutoka kwa usafiri wa kibinafsi, magari ya kifahari hadi chaguo za gharama nafuu zaidi. Kwa hatua chache za haraka, unaweza kuomba usafiri sasa hivi au uweke nafasi ya usafiri wa baadaye.

HND airline terminals

Angalia shirika lako la ndege hapa chini ili uhakikishe kuwa unafika kwenye lango sahihi la kuondoka.

Tafadhali kumbuka kuwa ndege za baadhi ya mashirika hutoka katika uwanja wa ndege kwa kutumia vituo vingi. Tembelea tovuti rasmi ya Uwanja wa Ndege wa HND ili uangalie mabadiliko yoyote ya huduma.

Kituo cha 1:

Aeroméxico, Air France, Air Tahiti Nui, Aircalin, American Airlines, ANA, Bangkok Airways, British Airways, Cathay Pacific, Delta, Finnair, Garuda Indonesia, Hawaiian Airlines, Japan Airlines, LATAM Airlines, Qatar Airways, Skymark Airlines, StarFlyer, Vietnam Airlines, Vistara

Terminal 2

Air Canada, Air China, Air New Zealand, AIRDO, ANA, EVA Air, Garuda Indonesia, Juneyao Air, Lufthansa, Philippine Airlines, Shandong Airlines, Singapore Airlines, Solaseed Air, Thai Airways, Turkish Airlines, United, Vietnam Airlines, Virgin Australia

Kituo cha 3:

Air Canada, Air China, Air France, AirAsia X, Alaska Airlines, American Airlines, ANA, Asiana Airlines, Bangkok Airways, British Airways, Cathay Pacific, China Airlines, China Eastern Airlines, China Southern Airlines, Delta, EGYPTAIR, Emirates, Ethiopian, EVA Air, Fiji Airways, Finnair, Garuda Indonesia, Hawaiian Airlines, HK Express, Iberia, ITA Airways, Japan Airlines, Juneyao Air, KLM, Korean Air, LATAM Airlines, Lufthansa, Malaysia Airlines, Peach, Philippine Airlines, Qantas, Qatar Airways, SAS, SAUDIA, Shanghai Airlines, Singapore Airlines, Spring Airlines, SriLankan Airlines, Thai Airways, Tianjin Airlines, Tigerair Taiwan, Turkish Airlines, United, Vietjet, Vietnam Airlines, Virgin Australia, Vistara

Your car options to HND

Top questions about HND Airport

  • Tunapendekeza ufike katika uwanja wa ndege saa 3 mapema kwa usafiri wa kimataifa. Weka nafasi ya usafiri mapema ili ukusaidie kupunguza muda wa kusubiri. Unaweza kuweka nafasi yako ya usafiri ukitumia akaunti yako ya Uber, ili kuondoa matukio ya kubahatisha wakati wa kuchukuliwa na kushushwa katika uwanja wa ndege.

  • Dereva wako wa Uber atakupeleka kwenye lango la kuondoka kwenye kituo utakachochagua.

  • Nauli ya usafiri wa Uber kutoka Uwanja wa Ndege wa HND inategemea vipengele kama vile aina ya usafiri unaoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, ada za barabarani na mahitaji ya sasa ya safari.

    Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha, unapoomba safari utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.

  • Ndiyo. Angalia ukurasa wetu wa teksi ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kuomba teksi ukitumia programu ya Uber.

  • Dereva wako ana maelezo ya mahali uliko (ikiwa ni pamoja na njia ya kumfikisha huko haraka), lakini unaweza kumuomba apite barabara mahsusi. Ada za barabarani zinaweza kutumika.

See other airports near the Greater Tokyo area

Je safari yako si ya kutoka HND? Angalia maelezo kuhusu viwanja vingine vya ndege katika eneo hilo.

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.