Ukurasa wa Kwanza > Safari > Viwanja vya ndege > AMS
Ratibu usafiri wako wa kwenda Amsterdam Airport
(Uwanja wa Ndege wa Amsterdam Schiphol)
Tupe maelezo ya safari yako, kisha utufahamishe unapohitaji usafiri. Ukitumia Uber Reserve, unaweza omba usafiri hadi siku 90 mapema.
Kwenda Uwanja wa ndege wa AMS
Je, unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Amsterdam Schiphol? Uber huchukua jukumu la kushughulikia safari yako hadi unakoenda. Iwe unasafiri kwa ndege ya ndani au ya kimataifa, Uber ina chaguo kwa ajili yako, kutoka kwa usafiri wa kibinafsi, magari ya kifahari hadi chaguo za gharama nafuu zaidi. Kwa hatua chache za haraka, unaweza kuomba usafiri sasa hivi au uweke nafasi ya usafiri wa baadaye.
Vituo vya mashirika ya ndege vya AMS
Angalia shirika lako la ndege hapa chini ili uhakikishe kuwa unafika kwenye lango sahihi la kuondoka.
Tafadhali kumbuka kuwa ndege za baadhi ya mashirika hutoka katika uwanja wa ndege kwa kutumia vituo vingi. Tembelea tovuti rasmi ya Uwanja wa Ndege wa AMS ili uangalie mabadiliko yoyote ya huduma.
Main Terminal
AEGEAN, Aer Lingus, Aerolíneas Argentinas, Aeroméxico, Air Austral, Air Canada, Air Europa, Air France, Air India, Air Malta, Air Serbia, airBaltic, American Airlines, ANA, Austrian Airlines, Azores Airlines, Azul, British Airways, Cathay Pacific, China Airlines, China Eastern Airlines, China Southern Airlines, Corendon Dutch Airlines, Croatia Airlines, Delta, easyJet, EGYPTAIR, EL AL, Emirates, Ethiopian, Etihad Airways, Eurowings, Finnair, Garuda Indonesia, GOL, Gulf Air, Iberia, Icelandair, IndiGo, ITA Airways, Japan Airlines, JetBlue, Kenya Airways, KLM, Korean Air, Kuwait Airways, LATAM Airlines, LOT Polish Airlines, Lufthansa, Malaysia Airlines, MIAT Mongolian, Norwegian, Oman Air, Pegasus, PIA, PLAY, Qantas, Qatar Airways, Royal Jordanian Airlines, RwandAir, Ryanair, SAS, SAUDIA, Singapore Airlines, SriLankan Airlines, SWISS, TAP Air Portugal, TAROM, Thai Airways, Transavia, TUI fly Netherlands, Turkish Airlines, United, Vietnam Airlines, Virgin Atlantic, Virgin Australia, Vistara, Vueling, WestJet, Xiamen Airlines
Chaguo zako za gari za kwenda AMS
Maswali yanayoulizwa sana kuhusu Uwanja wa ndege wa AMS
- Nifike katika uwanja wa ndege wa AMS mapema kiasi gani?
Tunapendekeza ufike katika uwanja wa ndege saa 3 mapema kwa usafiri wa kimataifa. Weka nafasi ya usafiri mapema ili ukusaidie kupunguza muda wa kusubiri. Unaweza kuweka nafasi yako ya usafiri ukitumia akaunti yako ya Uber, ili kuondoa matukio ya kubahatisha wakati wa kuchukuliwa na kushushwa katika uwanja wa ndege.
- Nitashushwa wapi?
Down Small Dereva wako wa Uber atakupeleka kwenye lango la kuondoka kwenye kituo utakachochagua.
- Je, safari yangu ya Uber kutoka AMS itanigharimu pesa ngapi?
Down Small Nauli ya usafiri wa Uber kutoka Uwanja wa Ndege wa AMS inategemea vipengele kama vile aina ya usafiri unaoomba, kadirio la umbali na muda wa safari, ada za barabarani na mahitaji ya sasa ya safari.
Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuomba safari kwa kuenda hapa na kuweka eneo lako la kuchukuliwa na mahali unakoenda. Kisha, unapoomba safari utaona bei yako halisi kwenye programu kulingana na sababu za wakati halisi.
- Je, ninaweza kupanga nichukuliwe AMS?
Down Small Ndiyo. Nenda kwenye ukurasa wetu wa kuchukuliwa katika Uwanja wa ndege wa AMS ili upate maelezo zaidi.
- Je, ninaweza kutumia programu ya Uber kuomba usafiri wa teksi ya kunipeleka katika uwanja wa ndege wa AMS?
Down Small Hapana, lakini unaweza kuona chaguo nyingine za maeneo ya kushukishwa punde tu utakapotoa maelezo ya safari yako hapo juu.
- Je, dereva wangu atapitia barabara itakayomwezesha kufika haraka sana akija katika Uwanja wa ndege waAMS?
Down Small Dereva wako ana maelezo ya mahali uliko (ikiwa ni pamoja na njia ya kumfikisha huko haraka), lakini unaweza kumuomba apite barabara mahsusi. Ada za barabarani zinaweza kutumika.
Angalia viwanja vingine vya ndege vilivyo karibu na Amsterdam
Je safari yako si ya kutoka AMS? Angalia maelezo kuhusu viwanja vingine vya ndege katika eneo hilo.
Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa kila baada ya kipindi fulani. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au uendeshaji wake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.
Kuhusu