Stories

International Women’s Day 2019: UberWOMEN take the wheel

March 8, 2019 / Tanzania
Share to FacebookThis link opens in a new windowShare to TwitterThis link opens in a new windowShare to Google+This link opens in a new windowEmail

Siku ya wanawake duniani ni zaidi ya siku ya kusheherekea wanawake mashuhuri duniani waliofanya mambo makubwa. Kwetu sisi ni harakati ya kusherehekea uwezo wa wanawake kwenda popote kwa uhuru. Kuendesha gari sio tu njia ya kufika kazini, inaweza kuwa kazi. Kwa wanawake duniani kote, Uber inakupa kitu tofauti: fanya kazi utakavyoweza, mdaa wowote unaotaka. Madereva wanaweza kutengeneza ela kwa jinsi wanavyotaka na kwa ratiba yao wenyewe.

Tunajivunia kuwatambulisha baadhi ya wanawake wa Uber ndani ya Tanzania:

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani,

Uber Tanzania