Sababu za kutumia Uber WAV kusafiri
Safari za haraka na rahisi
Itisha usafiri unaohitaji wakati na mahali ambapo WAV linapatikana, kulingana na mtindo wa maisha yako, mtindo usioathiri maisha yako.
Safari zinazofaa bajeti yako
Bei ya safari ya Uber WAV inalinganishwa na ya UberX, chaguo letu la msingi la usafiri.
Madereva waliobobea wako tayari kukusaidia
Kila mtu anayeendesha gari kupitia Uber WAV amekamilisha kozi na kupokea cheti inayotolewa na washirika wengine ili kukusaidia kuingia na kushuka kwenye gari. *
Jinsi ya kusafiri kwa kutumia WAV
1. Ombi
Fungua App na uweke mahali unakoenda katika kisanduku cha "Unaenda wapi?". Pindi unapothibitisha kuwa anwani ya mahali pa kuchukuliwa na unakoenda ni sahihi, chagua WAV katika sehemu ya chini ya skrini yako (namba ya ofa inahitajika katika baadhi ya miji). Kisha bonyezaThibitisha Lux.
Ikiwa dereva wa WAV anapatikana na kukubali ombi lako la usafiri, utaona picha ya dereva wako na maelezo ya gari na unaweza kufuatilia muda atakaowasili kwenye ramani.
2. Safari
Hakikisha kwamba maelezo ya gari yanafanana na maelezo unayoona kwenye App kabla ya kuingia kwenye WAV.
Dereva wako anajua unakoenda na ana maelekezo yatakayokufikisha kwa haraka, lakini unaweza kumwomba atumie barabara unayopenda.
3. Shuka kwenye gari
Utatozwa kiotomatiki kwa kutumia njia ya malipo uliyoweka kwenye akaunti, kwa hivyo unaweza kushuka kwenye WAV pindi unapofika uendako.
Kumbuka kumtathmini dereva wako ili Uber iendelee kuimarisha usalama kwa manufaa ya kila mtu.
Maswali yanayoulizwa sana
- Je, ninaruhusiwa kuingia na mnyama wangu wa huduma kwenye gari?
Ndiyo. Madereva wana wajibu wa kisheria wa kuwahudumia wasafiri walio na wanyama wa kutoa huduma. Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia Sera ya Wanyama wa Huduma ya Uber .
- Je, ninaweza kuwasafirisha wenzangu kwenye safari ya Uber WAV?
Ndiyo. Unaweza kuleta marafiki wengi kadri kuna viti vyenye mikanda ya usalama kwenye gari.
- Je, ninaweza kumwitishia rafiki au mwanafamilia usafiri wa Uber WAV?
Weka tu eneo lako la kuchukuliwa hadi sehemu ya kuwachukua na uchague Uber WAV, linapopatikana. Itisha usafiri, kisha uwasiliane na dereva wako kupitia App ili umjulishe kuwa atamchukua mtu mwingine. Kisha unaweza kuonesha rafiki au mwanafamilia wako maelezo ya safari ili aweze kufuatilia mahali alipo dereva.
Safari kote ulimwenguni
Kuna njia zaidi ya moja ya kusafiri ukitumia Uber, haijalishi mahali ulipo au unakokwenda baadaye. Angalia programu ili uone ni machaguo yapi ya safari yanayopatikana karibu nawe.*
Uber Electric
Safari zisizo na uzalishaji wa hewa chafu kwa kutumia magari ya umeme
UberX Share
Safiri pamoja na hadi msafiri mmoja kwa wakati mmoja
Uber Transit
Maelezo ya usafiri wa umma kwa wakati halisi kwenye programu ya Uber
Baiskeli
Baiskeli za umeme pale unapozihitaji ambazo hukuruhusu kwenda mbali zaidi
Uber Comfort
Magari mapya zaidi yaliyo na nafasi ya kutosha ya kuweka miguu
Uber Black SUV
Safari za starehe kwa watu 6 katika magari ya kifahari ya SUV
*Uber WAV is only available in select markets. Riders who use folding wheelchairs can request a ride in all other options available through the Uber app. Drivers are expected to accommodate riders using walkers, canes, folding wheelchairs, or other assistive devices. For more information, see accessibility.uber.com.
**The material provided on this web page is intended for informational purposes only and may not be applicable in your country, region, or city. It is subject to change and may be updated without notice.
Kuhusu
Kuhusu