Kuza biashara yako
Wavutie wateja wengi kwenye biashara yako na uwe tofauti kwa kuwapa huduma za kipekee.
Boresha huduma kwa wateja wako
Wafurahishe wateja wako kwa kuwalipia safari au mlo.
Dhibiti gharama zako
Lipia gharama yote au sehemu tu ya mlo au safari yake na upate vidokezi kuhusu matumizi.