
Ukiwa na Uber, wikiendi yako inaanza Alhamis, na tunaanza na punguzo la mpaka asilimia 50 (50%) kwenye safari za Uber Poa na Boda.
Ofa hii ni kwa watumiaji wote wa App ya uber, na ili kupata ofa hii omba safari za Uber Poa au Boda katika wakati wa promosheni.
Promosheni ni lini na wapi?
- Mahala : Popote ndani ya Dar es Salaam
- Muda : Kuanzia Saa 8 Mchana – Saa 12 Jioni
- Siku : Kila Alhamis – Jumamosi
Uber ita gharamia gharama zote za promosheni hii. Kama kawaida yetu, madereva wata lipwa hela zote za nauli kwa safari zilizo fanyika kipindi cha promosheni, na mapato ya dereva-mshirika hayata athiriwa na promosheni hii.
Vigezo na Masharti;
- Promosheni hii ni kwa safari za Uber Boda na Uber Poa zitakazo fanyika kati ya Saa 8 Mchana – 12 Jioni, kwa siku za promosheni.
- Promosheni hii haitatumika kwenye bidhaa za UberX.
- Katika muda wa promosheni yaani (Saa 8 Mchana – Saa 12 Jioni), ofa hii ni mpaka safari 5 kwa siku.
Posted by Monica Mziray
Category:
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Safari, Ofa11 Oktoba 2023 / Tanzania
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Ofa6 Aprili 2023 / Tanzania
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Safari, Hadithi20 Februari 2023 / Tanzania
Heshima ni kwa pande zote mbili

Safari, Ofa9 Februari 2023 / Tanzania