
1. Ofa hii ni mpaka tarehe 31/12/2022 na ina ukoma kwa idadi ya watu wanoweza kuitumia. Ofa hii itakupa punguzo la asilimia 40% kwenye safari zako mbili za kwanza. Punguzo hili ni kwa ajili ya wasafiri wanaotumia Uber kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.
2. Kikomo cha kiwango cha promosheni hii ni asilimia 40%, salio halitatumika kwenye safari inayofuata na haliwezi kutumiwa. Ofa hii haijumuishi bakshisi (tip), ada na tozo nyingine, pia haiwezi kujumuishwa na punguzo au ofa nyingine.
3. Iwapo akaunti yako ina zaidi ya ofa moja ambayo unaweza kutumia kwenye safari hii, basi ofa yenye thamani ya juu ndio itakayotumika.
4. Uber ina haki ya kubadilisha vigezo na masharti ya ofa hii na hata kuiondoa wakati wowote, bila kushauriana na mtu yeyote.