
Usafiri mpaka mlangoni kwako, agiza usafiri wa Uber Poa kwa gharama nafuu kwa kutumia simu yako! Huhitaji tena kuhangaika kwa kusimama barabarani kungojea usafiri. Uber Poa inajumuisha vipengele kibao vya kulinda usalama wako ili usafiri kwa amani na raha mstarehe.
Jinsi ya kuagiza usafiri:

- Fungua App ya Uber.
- Bofya “Unaenda wapi?”
- Weka mahali unakoelekea.
- Chagua usafiri wa Uber Poa na bofya ‘Thibitisha Uber Poa’.
- Thibitisha eneo lako la kuchukuliwa
- Mara tu dereva atakapokubali ombi lako, kwenye ramani, utaona mahali alipo na muda unaokadiriwa kuwa atafika hapo ulipo.
- Uber itakutumia taarifa pale dereva atakapokaribia katika eneo lako la kuchukuliwa.
- Hakuna kuchelewa tena!
Posted by Uber
Category: