
Unahitaji njia rahisi ya kuzunguka jiji la Dar? Tumeweka njia mbali mbali za usafiri kurahisisha mizunguko yako ya kila siku! Wewe ni kuchagua tu, usafiri unaofaa shughuli zako! Na kufurahia promosheni zilizopo kwenye App.
Safiri kwa kujinafasi ukiwa na UberX
UberX ni usafiri salama, wa kuaminika na gharama nafuu, unafaa kwa safari zako za kila siku. Fungua App yako kuagiza sasa!
Safiri kwa gharama nafuu na Uber Poa
Tumekuletea usafiri rahisi na wa gharama nafuu kiganjani mwako kupitia bajaji → UberPOA inafaa zaidi kwenye safari za hapa na pale ndani ya jiji la Dar.
Kwepa foleni ukiwa na Boda
Okoa pesa yako, na ufike unapoenda kwa haraka zaidi ukiwa na UberBoda!
Toka na crew yako ukiwa na UberXL
Ikiwa na uwezo wa kubeba hadi watu 6, na nafasi ya mizigo. Usafiri huu wa Uber unakupa uwezo wa kwenda sehemu mbali mbali pamoja na marafiki zako!
Agiza na kupokea mizigo na Uber Connect
Iwe ni mzigo wa ofisini, au unampango wa kumtumia mtu mzigo wowote, iwe zawadi, mzigo alio nunua na vinginevyo, unweza kutumia Connect kwa ajili ya kutuma na kupokea mzigo yako.
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Heshima ni kwa pande zote mbili
