
Mwezi Novemba mwaka jana, tuliwatangazia programu mpya ya abiria yenye swali jepesi tu, “Unaenda wapi?” Tunaanza na jina la eneo unaloelekea ili kukufikisha hapo haraka iwezekanavyo na kukurahisishia safari yako.
Tunajua unafanya zaidi ya kuenda eneo unaloelekea pekee – mara kwa mara kuna sehemu ambazo unaenda kukutana na watu. Hii ni moja ya sababu inayopelekea sisi kukuunganisha moja kwa moja na mtandao wa Snapchat ndani ya Dar es Salaam!
Sasa unaweza kuchagua na kusnap wakati ukiwa safarini – siku za kufunga programu moja ili kutumia programu nyingine zimepita na wakati.
Wajulishe marafiki zako muda utakapowasiri unapo kwenda kwa kutumia Filters zetu za kipekee zenye ETA au onesha weledi wako wa kuchukua Selfie kwa kutumia filters zetu za quirky. Uzuri wake? Utaweza kushare kumbukumbu zako za muhimu kwenda kwa marafiki zako.
Hivi ndivyo inavyofanya kazi:
Ikiwa wewe ni mtumiaji wa siku nyingi wa Snapchat na pia upo katika safari ya Uber, utaona Snap card kwenye Uber feed. Unachotakiwa kufanya ni kuchagua aina ya filter unayotaka kufungua, piga selfie yako, na buruza kwenye kioo cha simu yako kuelekea kulia. Unaweza pia kutumia Uber filters na Snap lens nyingine ili kufurahi zaidi.
Kuanzia leo, Snapchat itawezeshwakwa wasafiri kwenye Android lakini pia kwenye iOS.
Posted by Uber Editor
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Heshima ni kwa pande zote mbili
