
Ukiwa unatumia App ya Uber kwenye kufanya safari zako, unakuwa na usafiri wa kuaminika zaidi kiganjani mwako. Lakini hatuishii hapo tu! Kamilisha safari yako na app ya Uber ndani ya jiji la Dar es Salaam na unaweza kuwa mmoja wa washindi wetu wa kila siku na upate nafasi ya kujishindia vocha ya KFC, Pizza Hut.
Uber inazawadia watu 130 kila siku vocha za KFC na Pizza Hut, na wewe pia waweza kuwa mshindi. Unachotakiwa kufanya ni kukamilisha safari na moja kwa moja utaingia kwenye droo yetu ya kutafuta washindi na kupata nafasi ya kushinda vocha ya Pizza Hut au KFC.
Kila safari unayokamilisha, ni nafasi nyingine ya wewe kuwa mshindi! Washindi wanapatikana kila siku, na hupigiwa simu kupewa taarifa ya ushindi wao . V&M kuzingatiwa