
Katika kusherehekea wiki hii ya wapendanao, Uber inawazawadia wasafiri wanaotumia App ya Uber zaidi ya 1,000 vocha za “STREET WISE 3” za KFC BURE! Iwe unatumia UberX, UberXL, Uber Poa hata Uber Boda, bado una nafasi ya kushinda vocha hizi.
Unashindaje vocha hizi?
Kushinda vocha hizi ni rahisi sana:
1. Agiza usafiri kati ya Jumatatu (trh 13 Feb, 2023) hadi Jumapili (trh 19 Feb, 2023).
2. Ukisha panda usafiri, wakati safari imeanza, utapata SMS, Push au notification kwenye App yako ya abiri ikikuomba ujaze taarifa zako kwenye fomu.
3. Fungua fomu, jaza taarifa zako, halafu bonyeza ‘Submit’.
Ukisha tuma taarifa zako, na ukawa kati ya washindi wetu, utapigiwa simu na mtu wa Uber siku ya pili kukupa taarifa ya vocha yako na maelekezo ya jinsi ya kuipata vocha hiyo. Happy Valentine’s Week!
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Heshima ni kwa pande zote mbili
