
Lipia safari zako za Uber kwa TigoPesa urudishiwe 10% ya nauli kwenye akaunti yako ya TigoPesa
Ukiwa mteja wa TigoPesa, huna haja ya kuwa na wasiwasi kuhusu kuokoa pesa kwenye safari za Uber. TigoPesa inawazawadia wateja wake, 10% ya nauli wanapolipia safari zao za Uber kwa Tigo pesa. Ofa hii ni kwa safari zote za UberXL, UberX, UberPOA pamoja na UberBODA.
Kupata 10% ya nauli yako ni rahisi sana.
- Agiza usafiri kupitia App ya Uber
- Mwishoni mwa safari, mwambie dereva akupatie namba yake ya Tigo Pesa Lipa namba
- Lipia safari yako kupitia Lipa Namba ya dereva
- Pata 10% ya nauli yako kutoka Tigo Pesa ndani ya saa 24
Muhimu: Unapata 10% ya pesa yako, ikiwa tu umetumia Uber kuomba usafiri na unalipa nauli kupitia akaunti ya Lipa Namba ya dereva.
Posted by Monica Mziray
Category:
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Safari, Ofa11 Oktoba 2023 / Tanzania
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Ofa6 Aprili 2023 / Tanzania
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Safari, Hadithi20 Februari 2023 / Tanzania
Heshima ni kwa pande zote mbili

Safari, Ofa9 Februari 2023 / Tanzania