
Mkesha wa mwaka mpya ni usiku wenye shughuli nyingi za usafiri. Ni usiku ambao unaweza kutengeneza pesa nyingi sana na pia utawasaidia wasafiri kufika salama wanapoukaribisha mwaka mpya. Soma mikakati ifuatayo na itakusaidia kupata pesa nyingi katika usiku huu.
Tumia muda ambao hakuna wateja wengi vizuri
Usijinyime raha ya kujumuika na ndugu na jamaa kabla ya usiku wa manane wa Mkesha wa Mwaka Mpya kwa sababu unaendesha gari.
Kwa sababu uhitaji wa usafiri hupungua lisaa moja kabla ya saa sita usiku, unaweza kupata pesa uhitaji wa usafiri unapoongezeka kabla ya saa sita usiku na bado utapata muda wa kuukaribisha mwaka mpya (au upumzike tu).
Angalia promosheni zinazotekelezwa
Nenda kwenye sehemu ya Promosheni kwenye app yako ili uone njia unazoweza kutumia kupata pesa nyingi.
Pata mahali penye wasafiri wengi
Programu hii inaweza kukuelekeza kwenye maeneo ya wasafiri wengi katika sehemu zilizoangaziwa ambako nauli imeongezeka, na kukupa taarifa za moja kwa moja kuhusu mahali pa karibu penye wasafiri wengi.
Unaweza kufuatilia mapato yako usiku wote.
Angalia mapato yako kwa urahisi kwa kuangalia mfumo wa kufuatilia ulio kwenye skrini ya ramani ili uone hatua unazopiga kuelekea katika malengo yako moja kwa moja.
Posted by Uber Editor
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Heshima ni kwa pande zote mbili

Pata kuku wa KFC BURE ukiwa na Uber
Bidhaa
Kampuni