
Juni 16 2016, tulianzisha Uber Dar Es Salaam kusaidia kupunguza msongamano na kuendesha kwa ubora zaidi! Tokea hapo watu wengi wamekua wakitumia na kutegemea Uber zaidi. Hii imepelekea ukuaji mzuri kwetu! Kutokana na safari nyingi zinazofanyika kila siku, imetufanya tufikirie- watu huwa wanaenda wapi zaidi? Ni sehemu gani ambazo huwa zina tembelewa na wasafiri wetu wa Dar Es Salaam #UberAmazing?
Tume angalia ni sehemu gani ambazo wasafiri huwa wanatemebelea zaidi. Aidha wewe ni mkazi wa Dar Es Salaam, au unatembelea tu mji, tunakuhakikishia kwamba utapata sehemu mpya ya kutembelea! Haya ndiyo maeneo yanayo tembelewa zaidi na wasafiri wa Uber:
Asilimia 40 ya safari zote huwa zinaishia kwenye maeneo yenye ofisi nyingi, hii inaweza kumaanisha kwamba wasafiri wengi wanapenda kupelekwa kazini ama kwenye vikao ili wapate mda zaidi wa kufanya kazi zao! Asilimia 30 za safari huwa zinaishia kwenye shopping centers, hii inamaanisha kwamba watu wengi huwa wanatumia Uber kwenda kufanya shopping Dar. asilimia 20 ya safari huwa zinaishia kwenye mahoteli, hizi safari zimegawanyika katika makundi mawili, moja ni wakazi wa hoteli na la pili ni watu wanaoenda kwenye hizo hoteli kwa ajili ya vikao na shughuli. Ya mwisho ni airport ambayo ina asilimia 10 hii ni kwa watu wanaoenda kupanda ndege.
Katika maeneo hayo, ni sehemu ipi ambayo imeongoza? Yafuatato ni maeneo yaliyoongoza kwa Dar
University of Dar es Salaam
Mlimani City
Quality Centre
Dar Free Market
Mkuki House
Viva Towers
Slipway
Shoppers Plaza
Airport
Posted by Margaret
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Get a trip when you need one
Start earning in your city
Related articles
Most popular
Shinda Vocha za KFC na PizzaHut ukitumia App ya Uber
Pata 10% ya nauli yako ukilipia safari za Uber kwa TigoPesa!

Heshima ni kwa pande zote mbili
