
Kwa kusheherekea uzinduzi wetu jijini Dar es Salaam, tumeungana na Diamond Platnumz ambaye atakua dereva WAKO jumamosi hii! Msanii huyu wa kimataifa atakua tiyari kukuchukua mahali popote na kukupeleza popote uendapo!! Tuamini, huta taka kukoswa!
Jinsi gani unaweza kupata ride na mwanamuziki maarufu wa mji wako? Itisha Uber na upate nafasi ya kushinda – ni rahisi!
Fungua Application yako ya Uber na kisha ingiza promo code MOVETANZANIA
Mbali na kubahatika kukutana na Diamond Platnumz, pia utajipatia tripu 6 za bure mpaka Jumapili saa SITA USIKU.
INAVYOFANYA KAZI
- Itisha safari siku ya Jumamosi June 18 kati ya saa NANE MCHANA hadi saa KUMI NA MOJA JIONI.
- Watumiaji watakao bahatika kuendeshwa na Diamond Platnumz,watatozwa gharama za kawaida za uberX.
- Mahitaji yatakua makubwa, hivyo basi usipo mpata Diamond Platnumz kwa mara ya kwanza, kamilisha tripu kisha jaribu tena muda mfupi baada ya hapo.
Bahati njema na endeleza mizunguko!
Team Uber Tanzania
Posted by oliviawaterkeyn
Category: