Please enable Javascript
Ruka uende katika maudhui ya msingi

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pittsburgh (PIT)

Je, unatafuta mbinu mbadala ya usafiri ambayo si basi la kawaida la Uwanja wa Ndege wa Pittsburgh au teksi? Iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Pittsburgh hadi Bustani ya Wanyama ya Pittsburgh au kutoka kwenye eneo la kibiashara la jiji hadi PIT, fika unakoenda ukitumia programu ya Uber unayoijua tayari. Omba gari la kukupeleka na kukurudisha kutoka PIT kwa kubofya kitufe.

Pittsburgh, PA 15231
+1 412-472-3525

search
Unatoka wapi?
Navigate right up
search
Unaenda wapi?

Omba usafiri ukiwa eneo lolote duniani

Bofya kitufe sasa na upate usafiri wa uwanja wa ndege katika zaidi ya vituo vikuu 700.

Safiri kama mkazi

Acha programu na dereva wako washughulikie maelezo ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika mji usiofahamu.

Safiri bila wasiwasi ukitumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwemo bei za wakati halisi na malipo ya kielektroniki, hata ukiwa ugenini.

Njia za kusafiri katika eneo husika

Utachukuliwa katika uwanja wa ndege wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pittsburgh (PIT)

Fungua programu yako ili uombe safari

Ukiwa tayari, fungua programu ya Uber ili uombe safari ya kuelekea mahali unakoenda. Chagua chaguo la usafiri wa uwanja wa ndege wa PIT linalokidhi mahitaji ya idadi ya wasafiri na mizigo yenu.

Ondoka kwenye sehemu ya kuchukua mizigo

Utapata maelekezo kuhusu maeneo ya kuchukuliwa katika Uwanja wa Ndege wa Pittsburgh moja kwa moja kwenye programu. Kutoka kwenye Mlango wa 4, tafuta eneo la biashara la kuchukua abiria kando ya barabara lenye rangi ya zambarau.

Kutana na dereva wako

Nenda kwenye eneo lako la kuchukuliwa la PIT kama ilivyobainishwa kwenye programu. Tafadhali kumbuka: eneo hili huenda lisiwe kwenye lango la kutoka lililo karibu zaidi nawe. Jina la dereva wako, nambari ya leseni na rangi ya gari itaonyeshwa kwenye programu. Thibitisha gari lako kabla ya kuingia. Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pittsburgh una majengo 2 makuu, Kituo cha Upande wa Nje na Kituo cha Upande wa Ndege. Kituo cha Upende wa Ndege kina kumbi 4, huku Ukumbi wa C ukihudumia wanaowasili kutoka safari za kimataifa.

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

  • Ndiyo. Nenda kwenye orodha hii ya viwanja vya ndege kote ulimwenguni unakoweza kuomba safari ukitumia Uber.

  • The cost of an Uber trip to (or from) PIT depends on factors that include the type of ride you request, the estimated length and duration of the trip, tolls, and current demand for rides.

    You can see an estimate of the price before you request by going here and entering your pickup spot and destination. Then when you request a ride you’ll see your actual price in the app based on real-time factors.

  • Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya safari unayoomba na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maelekezo kwenye programu kuhusu mahali pa kukutana na dereva wako. Unaweza pia kutafuta ishara zinazoonyesha maeneo ya kusafiri pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

    Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Taarifa zaidi

  • Unaendesha gari ukitumia Uber?

    Kuanzia eneo la kuwachukua wasafiri hadi kufuata sheria na kanuni za mahali husika, fahamu jinsi ya kufanya safari zako za uwanja wa ndege ziwe bora zaidi.

  • Unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

    Unaweza kushushwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 700 vya ndege kote ulimwenguni.

1/2

Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Pittsburgh

Pittsburgh International Airport (PIT) is the 47th-busiest airport in the US, serving more than 8 million passengers annually. It is located about 18 miles (29 kilometers) from downtown Pittsburgh, which is around a 20-minute drive in ideal road and traffic conditions.

Pittsburgh Airport terminals

PIT Airport consists of 2 main terminal buildings: Landside Terminal and Airside Terminal. Landside Terminal contains baggage claim, ticketing, security checkpoints, and ground transportation. Airside Terminal consists of 4 concourses (A, B, C, and D), with 75 gates across the terminal. Pittsburgh Airport lounges are located in Terminals B and C. You can plan your trip using the information below.

PIT Airside Terminal Concourse A

  • Allegiant
  • Southwest
  • Sun Country
  • United

PIT Airside Terminal Concourse B

  • Alaska Airlines
  • American Airlines
  • JetBlue
  • Southern Airways Express
  • Spirit
  • American Airlines Admirals Club

PIT Airside Terminal Concourse C

  • Air Canada
  • British Airways
  • Icelandair
  • The Club Lounge

PIT Airside Terminal Concourse D

  • Breeze Airways
  • Delta
  • Frontier

PIT international terminal

Pittsburgh Airport international flights arrive and depart in Airside Terminal Concourse C, containing gates C51 to C61. PIT Airport offers nonstop flights to more than 20 international destinations.

Dining at Pittsburgh Airport

PIT Airport offers more than 30 dining options in both the Landside and Airside terminals, including bars, coffee shops, snack shops, and restaurants with table service. Pittsburgh Airport food options range from traditional American fare and delis to international cuisine.

Getting around Pittsburgh Airport

Travelers at PIT can use People Mover, a fully automated underground train system connecting Landside Terminal to Airside Terminal. Additionally, Pittsburgh Airport transportation is provided by moving sidewalks along each concourse arm for passenger convenience.

Things to do at Pittsburgh Airport

Pittsburgh International Airport’s Art in the Airport program showcases work produced by local, regional, national, and international artists. Exhibitions are on display in Landside Terminal and Airside Terminal Concourse C. A lounge for kids is located in Airside Terminal Concourse C, featuring interactive installations and play equipment. Spas are located in Concourse B and the center core of Airside Terminal.

Currency exchange at Pittsburgh Airport

Pittsburgh Airport currency exchange offices for passengers are located in Landside Terminal, on the transit level.

Hotels near Pittsburgh Airport

Whether you have a layover or an overnight flight delay, or you need a place to stay for a visit near PIT, there are more than 25 hotels and accommodations nearby.

Points of interest near Pittsburgh Airport

  • Cathedral of Learning
  • Grandview Overlook
  • Pittsburgh’s conservatory and botanical gardens
  • Raccoon Creek State Park, Hookstown

Find more information about PIT here.

Facebook
Instagram
Twitter

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za wahusika wengine ambazo hazidhibitiwi na Uber na zinazoweza kubadilishwa au kusasishwa mara kwa mara. Taarifa yoyote iliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo haihusiani moja kwa moja na Uber au huduma zake ni kwa madhumuni ya kuarifu pekee na haifai kutegemewa au kufasiriwa au kuchambuliwa kwa namna inayoweka dhamana za aina yoyote, iwe zimeelezewa au kudokezewa, kuhusu taarifa iliyomo. Matakwa na vipengele fulani hutofautiana kulingana na nchi, eneo na mji.