Ruka uende katika maudhui ya msingi

Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda (PGD)

Tumia Uber kwenda popote, iwe unasafiri kutoka Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda kwenda Ponce de Leon Park au kutoka katikati ya mji hadi PGD.

28000 Airport Road, Punta Gorda, FL 33982
+1 941-639-1101

Weka nafasi ya usafiri kwenye Uber mapema katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Kamilisha mipango yako leo kwa kuweka nafasi ya usafiri wa kwenda Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda kwenye Uber. Itisha usafiri hadi siku 30 kabla ya safari yako ya ndege, saa na siku yoyote.
Mahali unakoenda
Chagua tarehe na saa

Press the down arrow key to interact with the calendar and select a date. Press the escape button to close the calendar.

Selected date is 2021/05/15.

Njia bora zaidi ya kusafiri

Itisha usafiri kote ulimwenguni

Bonyeza tu kitufe ili upate usafiri wa angani katika zaidi ya viwanja vikuu 500.

Safiri kama mwenyeji

Acha App na dereva wako ashughulikie masuala ya kina ili usisumbuke kutafuta maelekezo katika jiji ambapo wewe ni mgeni.

Safiri bila wasiwasi kwa kutumia Uber

Pata vipengele unavyovipenda, ikiwa ni pamoja na bei zinazooneshwa moja kwa moja na uwezo wa kulipa bila pesa taslimu, hata ukiwa ugenini.

Punguzo la hadi $15

Pata punguzo la $5 kwenye safari zako tatu za kwanza. Tumia kuponi ya ofa NEWRIDER15. Muda wa kuitumia unakwisha siku 30 baada ya kuweka kuponi ya ofa kwenye akaunti yako ya Uber.

Aina za usafiri ukiwa eneo husika

 • UberX

  1-3

  Affordable everyday trips

 • UberXL

  1-5

  Affordable rides for groups up to 5

 • Uber Green

  1-3

  Low-emission rides

 • Connect

  1-4

  Send packages to friends & family

1/5

Kupata gari kwenye Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Ita gari ukiwa tayari kutoka nje

Weka mahali unakoenda, kisha uchague gari linalotoshea wasafiri na mizigo mliyo nayo.

Ondoka kwenye kituo kikuu

Kisha uelekee kwenye maegesho ya muda mfupi yaliyo mkabala wa lango kuu la kuondoka.

Kutana na dereva wako kwenye maegesho ya muda mfupi

Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Ramani ya Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda ni mdogo na una kituo kimoja na barabara 3 za kupaa na kutua kwa ndege.

Maswali ambayo wasafiri wanauliza sana

 • Ndiyo. Bonyeza hapa ili uone orodha ya viwanja vya ndege kote duniani unakoweza kuitisha usafiri wa Uber.

 • Nauli ya usafiri wa Uber kuenda (au kutoka) Uwanja wa Ndege wa PGD inategemea hali kama vile aina ya usafiri, kadirio ya umbali na muda wa safari, ada ya vibali barabarani na idadi ya maombi ya usafiri.

  Unaweza kuona kadirio la bei kabla ya kuitisha usafiri kwa kuweka eneo la kuchukuliwa na mahali unakoenda katika zana ya kukadiria nauli katika Uber hapo juu. Kisha, unapoitisha usafiri utaona nauli yako halisi kwenye app kwa kutegemea hali za wakati huo.

 • Maeneo ya kuchukuliwa yanategemea aina ya usafiri unaoitisha na ukubwa wa uwanja wa ndege. Fuata maagizo kwenye App kuhusu eneo utakakomkuta dereva wako. Unaweza pia kuangalia mabango yanayoashiria maeneo ya usafiri wa pamoja yaliyobainishwa kwenye uwanja wa ndege.

  Ikiwa humpati dereva wako, wasiliana naye kupitia programu.

Maelezo zaidi

Unatumia mfumo wa Uber kuendesha gari?

Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kurahisisha huduma unayopokea katika viwanja vya ndege, zikiwemo sheria na kanuni za nchi husika.

Je, unaelekea uwanja tofauti wa ndege?

Unaweza kupelekwa na kuchukuliwa kutoka zaidi ya viwanja 600 vya ndege kote duniani.

Maelezo kwa wageni kwenye Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda hutoa usafiri wa ndani ya nchi kwa zaidi ya watu milioni 1.3 kila mwaka. Uwanja wenyewe upo umbali usiozidi maili 3 (kilomita 5), mwendo wa kama dakika 5 kwa gari wakati hakuna foleni au vikwazo vingine barabarani, kutoka katikati ya jiji la Punta Gorda, Kaunti ya Charlotte.

Vituo katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Uwanja wa ndege wa PGD una kituo kimoja na malango 6. Kituo Kikuu kina sehemu ya tiketi, kuchukua mizigo, usalama na sehemu za kuabiria. Mashirika ya ndege yaliyo katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda ni Allegiant na ndege za kukodi za Air Trek. Hakuna safari za kimataifa kutoka uwanja wa ndege wa PGD.

Kupata chakula katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Sehemu za kula katika uwanja wa ndege wa PGD zinajumuisha mgahawa na baa iliyo katika kituo kilicho baada ya ukaguzi wa usalama. Kioski cha chakula kilicho katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda hufunguliwa wakati wa shughuli nyingi karibu na Lango la 1. Kuna mgahawa ulio karibu na kituo na hufunguliwa kwa ajili ya kiamsha kinywa na chakula cha mchana.

Kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Uwanja wa Ndege wa PGD hauna mfumo wa usafiri wa ndani.

Mambo ya kufanya katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda si mpana sana na hauna shughuli za ziada katika uwanja wenyewe.

Kubadilisha sarafu katika Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Hakuna ofisi za kubadilisha fedha katika Uwanja wa Ndege wa PGD.

Hoteli karibu na Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

Iwe unasubiri ndege nyingine au ndege imechelewa usiku kucha, au kama unahitaji mahali pa kukaa karibu na PGD, kuna zaidi ya hoteli 10 na maeneo ya kukaa karibu.

Maeneo ya kuzuru karibu na Uwanja wa Ndege wa Punta Gorda

 • Bustani ya Allapatchee Shores
 • Ufukwe wa Englewood
 • Kijiji cha Fishermen
 • Kituo cha historia cha Punta Gorda

Pata maelezo zaidi kuhusu PGD hapa.

Facebook
Twitter

Ukurasa huu una taarifa kutoka kwenye tovuti za washirika wengine ambazo hazisimamiwi na Uber na zinaweza kugeuzwa au kubadilishwa mara kwa mara. Maelezo yoyote yaliyojumuishwa kwenye ukurasa huu ambayo hayahusiani moja kwa moja na Uber au kazi zake yanatumika kuarifu tu na hayafai kutegemewa, au kuchukuliwa au kufasiliwa kwa namna inayoweka dhamana ya aina yoyote, iwe ya moja kwa moja au inayokisiwa, kuhusu maelezo yaliyo hapa. Baadhi ya masharti na vipengele hutofautiana kutegemea nchi, eneo na jiji. Ofa ya punguzo inawalenga watumiaji wapya pekee. Huwezi kutumia ofa hii pamoja na ofa nyinginezo na haiwezi kutumiwa katika bakshishi. Inapatikana kwa muda mfupi. Vigezo na masharti ya ofa vinaweza kubadilika.